Kanji leo hapa haruki, kakatalia checkout nangojea tu.
Screenshot_20240316_231457_SportyBet.jpg

View attachment 2936750
 
watu mna hatari.
tip ya over 1.5 na over 2.5 zinaonekana kama simpo, lakini ngumu kishenzi. kwenye mechi 3 ni kawaida kuchana mechi moja.
mi nimeona isiwe tabu, nimeamua kuzitema
For sure, zinaonekana rahisi ukila ila mziki wake sio poa. Mfano mechi ya Alhilal mpaka dk ya 79 ilikua 0-0 nikajua imechana but Mungu mwema magoli yamepatikana dakika za mwisho
 
Bookings tafsiri fupi ni Kadi za Njano au Nyekundu

Uwiano ni kama wa magoli
League ya Netherlands waanza mpaka 1.5 baadhi ya Mechi kwenda juu

Sasa ikiwa 1.5 basi Kadi za Njano ziwe zaidi ya Moja,ikiwa 2.5 Kadi iwe zaidi ya mbili NK

Sasa Red Card yaa moja kwa Moja inahesabika kama Yellow cards mbili,sasa ikiwa over 1.5 mtu Akala straight red card basi imetiki,ila ikiwa Mchezaji alipewawanzo yellow card then akipewa red basi ni Kadi mbili tu hizo,ile red inakuwa kama second yellow card

Kuna mkeka Asubuhi nistue nitakupa Codes ya bookings tu uweke Buku tu,Ili uwe
unajifunza kwavitendo
Mkuu naomba huu mkeka wa bookings
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom