BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 4,804
- 8,520
Ww ungekuwa na maisha yako ungehangaika na pesa za muhindi??Ishi maisha yako tajiri.
Ww ungekuwa na maisha yako ungehangaika na pesa za muhindi??Ishi maisha yako tajiri.
Tuwinde mamilioni ukichezea 500 unatakiwa kuwa na 1000
3C05B1
Kwenye huu mkeka ongezeni yanga win
Kisha fanyeni na edit pesa hiyo
Kazi ya kumpiga gabachori kibaka hadi arudishe pesa zetu inaendelea
Stress....Ww ungekuwa na maisha yako ungehangaika na pesa za muhindi??
Aisee mie nilifungua Bila hayo mashartiNimejiunga Parimatch bet naona masharti mlima mpaka kudhibitisha akaunt nipige picha kitambulisho mbele na nyuma alafu nipige na selfie huku nimeweka kitambulisho kionekane pamoja na uso.
Nimetokomea kusikojulikana na nimeacha kuendelea na procedure zingine zinazoendelea
kutangatanga ipo siku mtaambiwa mpige picha za uchi mpost ili mpate bonus ya kujiunga na hayo makampuniNimejiunga Parimatch bet naona masharti mlima mpaka kudhibitisha akaunt nipige picha kitambulisho mbele na nyuma alafu nipige na selfie huku nimeweka kitambulisho kionekane pamoja na uso.
Nimetokomea kusikojulikana na nimeacha kuendelea na procedure zingine zinazoendelea
Umeandika Kwa uchungu sana, si ndo maana nimetoka mbio baada ya kuona nipige selfie (mkeka niliwe alafu na picha yangu niwape tena)Tsngatanga ipo siku mtaambiwa mpige p8cha za uchi mpost ili mpate bonus ya kujiunga na hayo makampuni
Shukrani mkuuAisee mie nilifungua Bila hayo masharti
Tatizo lao nikutrace mtu walichemka
Maana wanaongoza kwa kutiki mikeka iliyochana.
🤣🤣🤣🤣
Unaweza kukuta mkeka umechana huku muamala unasoma
Sometimes Mechi imeticki wewe unakoseshwa.VAR unasoma wao tayari mpunga unasoma kama ni match ya mwisho
Sasa nahisi wapo kimkakati sasa kudhibiti udhaufu wao.Ila wana best options tatizo lao kubwa ni matches kuwa hazina mpangilio maalum kama ilivyo Sportbety that's why I like Sportbety
hao ni wahuni hio kampuni sikushauriPromo code ya Meridianbet Tanzania 1109
Wanatoa Bonasi ya 3500
Kampuni gani mkuuDude nimelisuka kwa ulinzi wa hali ya juu tia 1000 ule 200,000 hii nikimkosa kanji nitakubali kuwa kanji ni mchawi
5F9343D
Inaload tu.Sportybet haifunguki wakuu
Sportybet ndiyo kampuni ya mabingwaKampuni gani mkuu