My predictions

BARCELONA Vs BAYERN MUNICH

PSG Vs MANCHESTER CITY

REAL MADRID Vs ARSENAL

ATLETICO DE MADRID Vs BORUSSIA
DORTMUND

FB_IMG_17104041464873263.jpg

What is your thoughts?
 
Tuwinde mamilioni ukichezea 500 unatakiwa kuwa na 1000

3C05B1

Ongezeni yanga win nilisahau kuiweka

Kisha fanyeni na edit pesa hiyo

Kazi ya kumpiga gabachori kibaka hadi arudishe pesa zetu inaendelea
 
Nimejiunga Parimatch bet naona masharti mlima mpaka kudhibitisha akaunt nipige picha kitambulisho mbele na nyuma alafu nipige na selfie huku nimeweka kitambulisho kionekane pamoja na uso.

Nimetokomea kusikojulikana na nimeacha kuendelea na procedure zingine zinazoendelea
Aisee mie nilifungua Bila hayo masharti

Tatizo lao nikutrace mtu walichemka

Maana wanaongoza kwa kutiki mikeka iliyochana.
🤣🤣🤣🤣
Unaweza kukuta mkeka umechana huku muamala unasoma

Sometimes Mechi imeticki wewe unakoseshwa.VAR unasoma wao tayari mpunga unasoma kama ni match ya mwisho

Sasa nahisi wapo kimkakati sasa kudhibiti udhaufu wao.Ila wana best options tatizo lao kubwa ni matches kuwa hazina mpangilio maalum kama ilivyo Sportbety that's why I like Sportbety
 
kutangatanga ipo siku mtaambiwa mpige picha za uchi mpost ili mpate bonus ya kujiunga na hayo makampuni
 
Aisee mie nilifungua Bila hayo masharti

Tatizo lao nikutrace mtu walichemka

Maana wanaongoza kwa kutiki mikeka iliyochana.
🤣🤣🤣🤣
Unaweza kukuta mkeka umechana huku muamala unasoma

Sometimes Mechi imeticki wewe unakoseshwa.VAR unasoma wao tayari mpunga unasoma kama ni match ya mwisho

Sasa nahisi wapo kimkakati sasa kudhibiti udhaufu wao.Ila wana best options tatizo lao kubwa ni matches kuwa hazina mpangilio maalum kama ilivyo Sportbety that's why I like Sportbety
Shukrani mkuu
 
YANGA vs GEITA

Yaani baada tuu ya mvua kunyesha odds za over 2.5 zimeshuka kutoka 1.71 mpaka 1.49

Jana over 1.5 ilikuwepo Asubuhi Fastaaa wakaitoa

Yote kwa Yote niliibetia Tangu Jana,so Odds ziliwa wazi with options

Ila naona mpaka Saa Moja itakuwa over 2.5. Inaweza fika 1.30🤣🤣🤣

Makampuni haya kwa Kuogopa YANGA ya 5 G

Wale wa SIMBA wahini mapemaaa ipo vizuri muda huu 1.60 direct Win na over 1.5 ipo kama 1.46
Hiii ikifika Asubuhi tuuuu balaa,Yaani itaporomoka mnooo
Ndio zao kuporomosha kwa Team Kubwa za Bongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom