nipo mkuu mwaka jana nilishinda m150 kwan hukuangalia itv na azam aisee ile pesa nilionga yote saiv sina hata buku naweka tren la mia nipate mtaji wa kujengea na kununua kiwanja
Hongera mkuu, kampuni gani? Ulitumia mbinu gani? Mwaka wa 3 huu najaribu sishindi hata bonus
 
Mkuu, Qarabag ni habari nyingine kabisa, Azerbaijan hakuna timu bora zaidi yao wameitawala sana league hiyo.
Qarabag anakiwasha sana Kwenye ligi yao hata zile mechi alizopigwa na kale katimu walikokutana mara tatu mfulizo na mechi ya kwanza kalipigwa 7 na mechi ya pili mechi haikuwa na presha sana maana ilikuwa ngumu kurudisha hizo saba na qarabag alifungwa sababu hakuwa na nia nayo sana hyo mechi! Braga ni mzuri ila naye kama anasua sua sana hizi mechi kama saba zilizopita hivyo leo amekutana na Qarabag kukandwa ilikuwa lazima na ndo hivyo amekandwa nne! Sometimes tusiangalie odd tuangalie kiwango na performance ya timu! Siku hizi timu yenye performance nzuri ndo inashinda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom