Mkuu ukifanikisha usisite kushare njia uliyotumia maana hizi kampuni ni zina mfanano mkubwa, mmiliki atakuwa mmoja.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
mkuu mimi 888starz wamenihack wakaniibia pesa waliyonitumia kaka muda huo huo,nmeumia san 260k ni pesa ya kawaida lkn kampuni imekosa uaminifu
Screenshot_20240216-104203.jpg
 
Qarabag anakiwasha sana Kwenye ligi yao hata zile mechi alizopigwa na kale katimu walikokutana mara tatu mfulizo na mechi ya kwanza kalipigwa 7 na mechi ya pili mechi haikuwa na presha sana maana ilikuwa ngumu kurudisha hizo saba na qarabag alifungwa sababu hakuwa na nia nayo sana hyo mechi! Braga ni mzuri ila naye kama anasua sua sana hizi mechi kama saba zilizopita hivyo leo amekutana na Qarabag kukandwa ilikuwa lazima na ndo hivyo amekandwa nne! Sometimes tusiangalie odd tuangalie kiwango na performance ya timu! Siku hizi timu yenye performance nzuri ndo inashinda
"Sometimes tusiangalie odds tuangalie kiwango na perfomance ya timu!!!" ...Nimeichukua hii Mkuu.
 
MECHI ZA LEO TAREHE 16/02/2024

Leo timu nyingi zinafanana Sana kinyota:

TANZANIA

(1)Azam vs Geita

Draw au Azam kushinda

(2)KAGERA sugar vs mashujaa
Draw au KAGERA kushinda

NJE

(1)CR Belouzdad vs Al Ahly

Draw au Al Ahly kushinda

by magical power
 
Back
Top Bottom