oko majimaji
JF-Expert Member
- Nov 11, 2016
- 385
- 920
8A2FBA8 Sportbety
Hii option haitadumu kanji lazima ataitoa maana inambana sana yeye. Sisi maofisa inatufavor kama utatulia vzr kanji lazima alie.huu sio mtego kweli ? mbona kama inskua rahisi sana
Shem wako uyo Pipa, nenda kwa heshima na tahadhimakumbe ni mchumba bas atakuwa na bahati sana ngoja niende pm
Mkuu sijaona code yako kwa leoShem wako uyo Pipa, nenda kwa heshima na tahadhima
Man City leo cyo wa kumkimbilia ,,,,watatusua wakuweka team tatu tatu ila nyie wa team nane lazima ukutane nalo mkitaka kuwin leo komaen na gg au double chance au win na over 2.5 kwa team kubwa mtazisikia team zenye uhakika leo kwenye over liver, mancity, arsenal, hawa wengine ikiwemo yule bwana lazima mfe
Leo niko bize sana mkuu, najuta kuwa mkubwaMkuu sijaona code yako kwa leo
sawa kaka tatizo hujamleta familia tumjue ila kaka mke umepata yaan hapa tutapiga hela mpaka! Kikubwa shem akutoze mali kubwa mana itafidia kwenye mikekaShem wako uyo Pipa, nenda kwa heshima na tahadhima
AE338A | SportyBetMkuu sijaona code yako kwa leo
asante studioo kwenu wakamaliaMan City leo cyo wa kumkimbilia ,,,,
Mechi tatu za wazi - Yanga ( ukiweza unacheza win kwa zaidi ya goli moja),, liver win kwa zaidi ya goli moja, arsenal win kwa zaidi ya goli moja
Kama hutaki makuu zote win kavu
Shukran sana mkuuAE338A | SportyBet