Vijana acheni kubeti nendeni mkalime
img_1_1707917271053.jpeg
 
pole aseh hata mm huku naona km pambo 888starz nimejaribu kwa njia ya perfect money nimedeposit jana nikacheza kwahy saiv nipo kweny hatua za mwisho kuwasiliana na security wa 888 ili niweze kutoa lkn washenz wananizungusha wanahitaj vitu vya ovyo ovyo tu mpk nataman kuwatukana
Mkuu ukifanikisha usisite kushare njia uliyotumia maana hizi kampuni ni zina mfanano mkubwa, mmiliki atakuwa mmoja.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
MTANI TAG KESHO MATOKEO YA MECHI YA MILWALL FC VS IPSWICH FC MAANA NIMEWEKA X2 SOOO MTANI TAG MIMI NA LOG OFF....



ASANTENII


@everyone
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom