Old guard
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,493
- 2,697
pole aseh hata mm huku naona km pambo 888starz nimejaribu kwa njia ya perfect money nimedeposit jana nikacheza kwahy saiv nipo kweny hatua za mwisho kuwasiliana na security wa 888 ili niweze kutoa lkn washenz wananizungusha wanahitaj vitu vya ovyo ovyo tu mpk nataman kuwatukanaYaani hata mood ya kuendelea kucheza imekaa kabisa, maana nahisi siwezi hata ku concentrate tena kufanya uchaguzi sahihi, pesa naiona kama bonus tu.
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app