nilikuwa nawaza labd njia mbadala kutoa pesa zangu ni astropay coment hii inaanz kunipa wasiwas,kule nako kweny perfect money mawakala wakisenge wanataka ueke kwanzia 28k kmmk utafkr hela inaokotwa tu
Astropay kwenye ku withdrawal ni tatizo. Labda kwa wenye ujuzi watupe madini.
Natumiaga Skrill kwenye kutoa pesa.
 
Daaah Hawa Watoto wa QPR Mechi zao Tano za mwisho wamescore zaidi ya Goal 3 kila mechi

Leo wapo nyumbani, mpinzani ana red card ila hata Goal Moja kupata ni shida

IMG_6266.jpg
 
Huduma kwa Kasi ya 5G,,, kuweka na kutoa,,, kijana Yuko mzigoni

KARIBU 1XBET TANZANIA

*Weka na kutoa Kwa wakala 1xbet

*✎ TIGOLIPA: 6990296
VANI SHOP O1*

✎ LIPA M-PESA: 50052276
VANI SHOP O1*

✎ AIRTELMONEY: 13049958
VAN SHOP 01

✎ CRDB : 0152566600000
IVAN ALFAXAD NYAMUKARA

ADDRESS:
CITY: Kahama Shinyanga
STREET: Mr materphon

Wasiliana nasi Kwa WhatsApp...
✎ ✎ ✎ ✎
wa.me/+255682157480
 
Ila betting ni konyo sometimes

Ameshakula chuma 3 bila
Nacheki balance naona ziro,,,, naingia kwenye mikeka peke yake kazingua ,,,, naomba Mungu wakaziwe wabaki huko huko champion ship,,, msimu ujao washuke league one,,,,,
Jana walicheza kimazoea bila kumheshimu mpinzani wao,,,, nimeangalia mechi malejeo dah
 
Hii Astropay naona majamaa Wameipondea Sana Hadi wakanitisha tamaa, ukiangalia review ya hii app ni hatariii, wanasema kudeposit ni rahisi Ila kuwithdraw is as bad as hell.
Ni kweli kabisa Mkuu, nimejaribu ila ni wa hovyo haijawahi kutokea, nataka nirudishe tu pesa kwenye account nitafute odds kumi nistake pesa yote 1M (treni) la muda mrefu, nikipata sawa nikosa sawa. Imefikia stage akili imechoka kabisa.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Cheza wababe wa england+ mechi za Madrid,,,, kwa kulinda wape win draw,,,
Kwa Imani haitaliwa,,, ila pole kwa hiyo kadhia
 
Ni kweli kabisa Mkuu, nimejaribu ila ni wa hovyo haijawahi kutokea, nataka nirudishe tu pesa kwenye account nitafute odds kumi nistake pesa yote 1M (treni) la muda mrefu, nikipata sawa nikosa sawa. Imefikia stage akili imechoka kabisa.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Labda kama hutaki kutoa, ila kama ukitaka kutoa deposit kwa wakala kiasi fulani kisha beti kwa odds kuanzia 1.1 kisha toa.
 
wakuu nimetengeneza trein la odd laki mbili nimeweka stake ya 50000 wamegoma nimeweka buku wamekubali ni meweka team 30 zime tik 10 bado 20 hawa walio baki sina presha nao mana ni wababe wa mech ajabu cash out inasoma buku 2 wakati odd elfu hamsin tayal zime win hivi hiz kampun zinatuonaje sisi hiyi sio dhuluma kwel odd elfu 50 cash out buku nawasiwas sana kama ka m68 watatoa kama ita win hiv ni wap nikawafungulie kesi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom