Salaam ! Karibuni kwenye group la wasafiri kuelekea Monduli Siku ya Alhamisi 15.02.2024 au Ijumaa 16.02.2024 kumsindikiza Mzee wetu Lowassa.

Vituo vitakuwa viwili kwa Dar es Salaam ni Nyumbani kwa Mzee Masaki

Kwa Dodoma Kituo ni Nam Hotel Area C

NB:
Usafiri ni bure na magari yatarejea baada ya mazishi.
Ukiingia kwenye group Andika Mkoa Jina lako na unaoondokea

Wanafki bhana!!!
 
Hii Astropay naona majamaa Wameipondea Sana Hadi wakanitisha tamaa, ukiangalia review ya hii app ni hatariii, wanasema kudeposit ni rahisi Ila kuwithdraw is as bad as hell.
nilikuwa nawaza labd njia mbadala kutoa pesa zangu ni astropay coment hii inaanz kunipa wasiwas,kule nako kweny perfect money mawakala wakisenge wanataka ueke kwanzia 28k kmmk utafkr hela inaokotwa tu
 
1xbet wanazingua hatari, Kampuni kubwa but huduma deposit na withdraw hivyo kabisa.

Ogopa sana hizi kampuni

1xbet (mama yao)
22bet
Helabet
Paripesa

Kimsingi hiyo ni kampuni moja ya mamafia wa Russia

Bongo walianza kama 1xbet wakashindwa sheria za bongo wakafutwa
Wakaja kwa mlango wa nyuma na jina la 22BET, wakatapeli watu kisha wakasepa
Wakarudi tena kwa dirisha la sebuleni kwa jina la HELABET, wakatapeli watu wakasepa kimya kimya
Na sasa wametoboa dari wamekuja kwa jina la PARIPESA, wameanza kufanya the same na walivyofanya 1xBet 22bet na Helabet

Kwanza mobile transactions zina anza kuja na kupotea, mara inabaki kudeposit tu kutoa hakuna
Baada ya hapo wanapotea mazima

Kama unaipenda sana hiyo kampuni njia rahisi na afadhali kidogo ni kutumia 1xbet kupitia mawakala ( ingawaje nayo ni kosa kisheria)

UKIONA KAMBUNI IMEONDOLEWA MOBILE PAYMENT UJUE IMEKOSA VIGEZO NA IMEPIGWA PINI KUENDELEA NA BIASHARA

Kambuni yoyote ambayo haina mobile payment..... bet at your own risk
 
Kampuni za kayomboo hzo aje alete ufafanuziii maake ameingia ubia nao na wanaela zanguu🫴
 
Yani hii ni kampuni mojaa ila Inakujaa kivingine kila sikuuu..!!
 
9YVZF

1xbet code ..
Odds Tano ...

Madrid win draw
Man City win
Leicester city win ( hii mechi Ina kaukakasi maana mechi mbili mfululizo wameenda draw, yawezekana inaendelea hiyo series)
Leeds win draw
Hull city win draw
Norwich win draw
Southampton win draw
 
Wakubwa hivi kuna tofauti gani Kati ya over 0.5 na over 1?
ni kutufanya tu hatuna akili hawa bwege kwan kunautofauti gani kati ya over 1.5 na gg hawa chulla wapuuz sana nilijuaga over 0.5 ni kupata gori kuanzia 0.5 kuna siku mech zimetoka 0.0 nikasema mbona nimelost kumbee
 
Haya tuishi humu!!!
20240213_221653.jpg
20240213_221639.jpg
 
° over 0.5 ili ule lipatikane goli 1
° over 1 ili ule yapatikane magoli mawili. Likipatikana 1 unarudishiwa hela yako.

Hizi option ukigugo kwa kingereza wanakuelekeza vizuri tena kwa mifano.
bas tumekulaa vp na over 2.5 na under 2.5
 
° over 0.5 ili ule lipatikane goli 1
° over 1 ili ule yapatikane magoli mawili. Likipatikana 1 unarudishiwa hela yako.

Hizi option ukigugo kwa kingereza wanakuelekeza vizuri tena kwa mifano.

Kwenye 0.5 yakipatikana magoli labd 3 je unakuwa ume win bado?
 
Back
Top Bottom