Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 9,902
- 8,919
SNaombeni Odds 10 tuuu
Chukia hii kisha tuliaaaaaNaombeni Odds 10 tuuu
29F8289
SNaombeni Odds 10 tuuu
Chukia hii kisha tuliaaaaaNaombeni Odds 10 tuuu
wote hao huwa wanapaki bus wakipata goli........Kwa wachambuaji wa ndani ndani...kwanini game ya Juventus na Roma ina odds nyingi za over 2.5?
Ndugu Yangu,si unawajua wa kuibuka baada ya matokeo eti mtu ndio anajifanya anaijua Team utafikiria yeye alipa chance😂😂😂Siwachukulii poa lkn bologna amekua na form nzuri lately, amekua akipata matokeo MAZURI kwa timu kubwa so leo hata draw alikua ana uwezo wa kutoa Sema ndo mpira tena
Mamelodi anataka kupindua matreniMamelodi sundown VP mbona hamueleweki leo..nimekueweka mikeka takribani yote
Mchambuzi wa mchongo nipo hapa😂😂Kwa wachambuaji wa ndani ndani...kwanini game ya Juventus na Roma ina odds nyingi za over 2.5? 😃
unabet🤣Waongeze halopesa aisee
Sometimes!!!!!!!!!!!!!unabet🤣
Man u siyo wa kumuamini aiseeeh, kama mzigo wa maana bora ucash out
Nottingham forest wanamoto
Kazi kweli kweli Mkuu😂😂😂Ndugu Yangu,si unawajua wa kuibuka baada ya matokeo eti mtu ndio anajifanya anaijua Team utafikiria yeye alipa chance😂😂😂
Aston villa mwenyewe angechana ungewaona wanasema Burnley imetulia sasahivi haitaki kushuka Daraja.
Ndio burdan zetu humu