Naombeni Odds 10 tuuu
S
Naombeni Odds 10 tuuu
Chukia hii kisha tuliaaaaa

29F8289

Screenshot_20231230-194857.png
 
Kwa wachambuaji wa ndani ndani...kwanini game ya Juventus na Roma ina odds nyingi za over 2.5? 😃
 
Siwachukulii poa lkn bologna amekua na form nzuri lately, amekua akipata matokeo MAZURI kwa timu kubwa so leo hata draw alikua ana uwezo wa kutoa Sema ndo mpira tena
Ndugu Yangu,si unawajua wa kuibuka baada ya matokeo eti mtu ndio anajifanya anaijua Team utafikiria yeye alipa chance😂😂😂

Aston villa mwenyewe angechana ungewaona wanasema Burnley imetulia sasahivi haitaki kushuka Daraja.

Ndio burdan zetu humu
 
Kwa wachambuaji wa ndani ndani...kwanini game ya Juventus na Roma ina odds nyingi za over 2.5? 😃
Mchambuzi wa mchongo nipo hapa😂😂

Kwanza Mara nyingi Roma akicheza ugenini anazuia zaidi na kushambulia kwa vipindi vichache.
Kwahiyo akiweza kuitawala midfield basi magoli yatachelewa mnooo

Sasa kuna MAWILI,Roma akifungwa goal tu anafungua Team inakuwa open game.
Kwahiyo inategemea atafungwa muda Gani.
Na anafungukaga mnoo akifungwa yeye mwanzo.

Hii Game ipe over 1.5 ipo wazi Zaidi.

Over 2.5 inakuwa na ukakasi,maana goal Moja to second goal it will take time .Hizo Team zote zimefungwa magoli machache Juventus ndio team ya pili baada ya Inter kuwa na magoli machache 11 ya kufungwa.
Ukuta wao upo vizuri,na Roma Midfield ipo vizuri.

Ni battle FULANI.

Over 2.5 NO but in betting anykitu can happen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom