Kwa wachambuaji wa ndani ndani...kwanini game ya Juventus na Roma ina odds nyingi za over 2.5? 😃
Mchambuzi wa mchongo nipo hapa😂😂

Kwanza Mara nyingi Roma akicheza ugenini anazuia zaidi na kushambulia kwa vipindi vichache.
Kwahiyo akiweza kuitawala midfield basi magoli yatachelewa mnooo

Sasa kuna MAWILI,Roma akifungwa goal tu anafungua Team inakuwa open game.
Kwahiyo inategemea atafungwa muda Gani.
Na anafungukaga mnoo akifungwa yeye mwanzo.

Hii Game ipe over 1.5 ipo wazi Zaidi.

Over 2.5 inakuwa na ukakasi,maana goal Moja to second goal it will take time .Hizo Team zote zimefungwa magoli machache Juventus ndio team ya pili baada ya Inter kuwa na magoli machache 11 ya kufungwa.
Ukuta wao upo vizuri,na Roma Midfield ipo vizuri.

Ni battle FULANI.

Over 2.5 NO but in betting anykitu can happen
 
IMG_6219.png

Nahitaji wabobezi tu,Ni cash out?
Naitisha round ya pili
 

Attachments

  • IMG_6219.png
    IMG_6219.png
    73.3 KB · Views: 5
30th Dec 2023

Bets zangu za leo
NCAAB
(College Basketball)

‍Marquette Golden Eagles MoneyLine

NHL

‍WIN Jets MoneyLine



NCAAF (College Football)

‍Mississippi Rebels +7.5 (Alternate Spread)



NCAAB (College Basketball)

‍James Madison Dukes -12.0
Multiple 1
Marquette Golden Eagles MoneyLine

WIN Jets MoneyLine
Multiple 2
Mississippi Rebels +7.5

James Madison Dukes -12.0



Bet unit 1 tuu katika kila mchezo. Maana yake kama una bet kutumia Tsh. 1,000, tumia Tsh. 1,000 katika kila bet, hata kwenye multiple 1 and 2. Kwahiyo total bet za leo itakua TSh. 6,000 au unit 6.

Mimi na bet kutumia Tsh. 5,000 kila unit kwenye account yangu ndogo.
Jana nilipata

ushindi wa zaidi ya Tsh. 33,000

FOLLOW POST ZANGU HAPO CHINI ⬇️⬇️⬇️⬇️


Thread 'Bet zangu za leo (mkeka)' Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo
 
30th Dec 2023

Bets zangu za leo
NCAAB
(College Basketball)

‍Marquette Golden Eagles MoneyLine

NHL

‍WIN Jets MoneyLine



NCAAF (College Football)

‍Mississippi Rebels +7.5 (Alternate Spread)



NCAAB (College Basketball)

‍James Madison Dukes -12.0
Multiple 1
Marquette Golden Eagles MoneyLine

WIN Jets MoneyLine
Multiple 2
Mississippi Rebels +7.5

James Madison Dukes -12.0



Bet unit 1 tuu katika kila mchezo. Maana yake kama una bet kutumia Tsh. 1,000, tumia Tsh. 1,000 katika kila bet, hata kwenye multiple 1 and 2. Kwahiyo total bet za leo itakua TSh. 6,000 au unit 6.

Mimi na bet kutumia Tsh. 5,000 kila unit kwenye account yangu ndogo.
Jana nilipata

ushindi wa zaidi ya Tsh. 33,000

FOLLOW POST ZANGU HAPO CHINI ⬇️⬇️⬇️⬇️


Thread 'Bet zangu za leo (mkeka)' Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo
I smell something here
 
Ndugu Yangu,si unawajua wa kuibuka baada ya matokeo eti mtu ndio anajifanya anaijua Team utafikiria yeye alipa chance😂😂😂

Aston villa mwenyewe angechana ungewaona wanasema Burnley imetulia sasahivi haitaki kushuka Daraja.

Ndio burdan zetu humu

Nina miaka zaidi ya 25 naifuatilia serie A..toka kipindi parma ,vicenza
piacenza na brescia wanasumbua ligi kuu!
 
Back
Top Bottom