SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,240
- 4,376
Hivi Hadi Leo mnabetia Hawa wizi wa betpawaKUna siku nilikuwa nalinganisha odds za mkeka sawa kati ya betpawa na premier bet, kiufupi betpawa wanaiba kwa kutumia akili zile total odds. Odds ya mwisho kwa mechi zote ilikuwa ndogo sana kwa betpawa ukilinganisha na premier bet, licha ya kuwa betpawa wametoa tena 50% bonus na odds za kila mechi hazitofautiani sana.
Nikajua tayari AI ipo kazini, wanawaibia na kuwadanganya wachezaji.