wadau eee. hivi leo England anaweza pata mirusho 20 ya mpira. na Denmark atashinda kweli?
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
akifanya muamala tu baaas, kashatajirika.😂😂😂😂😂😂
Aje kwa MFALME
Kumuona tu pesaa
kule South America ndo mpira ulikozaliwa, hamnaga kibonde.!!Ilihitaji akili kubwa sana na bahati kuruku viunzi vya, sweden, nigeria, argentina na brasil
View attachment 2816145
Na huku mpooowatu wanabetView attachment 2816201
Biashara umezokimbia ni Halali na Zina Upako wa MUNGU
Huku wenzio tunashetani na tunapambana kishetani.
Ndugu Yangu,Mchezo wa KAMARI sio ajira ya Kukuria,achana na hizo Story za vijiwe njaa vya waliokata tamaa ya Maisha Kazi kusifia tuuu wasioviona.
KAMARI unapoteza utu wa Mtu,inadhalilisha,unapoteza uwezo wa kufikiri,unapoteza uwezo wa kumbukumbu kwa Kazi mnooo
Mbaya zaidi umeenda mpaka kupoteza Nguvu za Kiume,yaani Mkeka ukichanika Muhindi Hali pesa Yako peke yake anakula mpaka na nyege zetu.Na siku ukimla Kanji basi unamla mpaka na nyege zake unakua full mkongo.
Watu kibao wamekatisha miadi ya dem kwa kuchanika mkeka.
Nakushauri achaa,endelea na Biashara huko huko.
Tumekuwa mpaka tunatapeliana sie kwa sie humuhumu,uongoo
Tuliomo humu usione tu tunachat,ILA tunasiri nzito mnoo mioyoni mwetu
Jana siku mbaya sana treni langu nilipost code hapa nilitia sh 3000 nimekuta limechanika kwa mechi mbili kweli code ukipost humu hazina barakaMatokeo ya Jana leo tumekaa kama misukule tuuu
Tunatizamana tuuuu
Mwendo ni wa Over 1.5 kwishaaaa
Maana Pumbavu wengi Jana wameharibu
naona unamvizia kanji kumpiga mamilioni kwa odds hizi unazowekaga ....ila leo tena natoa somo kwa huu mkeka wako kuna option nzuri sana kuifanya kwenye huu mkeka na kuwa somo ..mfano umeweka home or draw cheza home or under 2.5 na ile uliyo ipa away or draw cheza away or under 2.5 .....mtakuja ku nikumbuka huu mkeka nime ucheza kama ulivyo ila nime flex mara mbili sasa hivi ninaubadili kuwa home or under2.5 na away or under 2.5EA8B3D1 | SportyBet
️
Mkuu shida yangu nina tamaa sana na pesa ndefu kutoka kwa kanji so mambo ya kuflex sijui kuedit sitaki kuyasikia. Mimi nikishasuka bomu namtegea kanji kama lilivyo.naona unamvizia kanji kumpiga mamilioni kwa odds hizi unazowekaga ....ila leo tena natoa somo kwa huu mkeka wako kuna option nzuri sana kuifanya kwenye huu mkeka na kuwa somo ..mfano umeweka home or draw cheza home or under 2.5 na ile uliyo ipa away or draw cheza away or under 2.5 .....mtakuja ku nikumbuka huu mkeka nime ucheza kama ulivyo ila nime flex mara mbili sasa hivi ninaubadili kuwa home or under2.5 na away or under 2.5
u edit wote nilivyo elekeza uone ni upi uta fanya vizuri zaidiMkuu shida yangu nina tamaa sana na pesa ndefu kutoka kwa kanji so mambo ya kuflex sijui kuedit sitaki kuyasikia. Mimi nikishasuka bomu namtegea kanji kama lilivyo.
somo lako zuri though, wenye kufuata wafuate
Swala siyo ku flex mfano wewe auja flex umeweka hela ukishinda unakula mil 40 mimi nika flex mara 3 nikaweka hela kubwa inayo niletea ushindi wa mil40 sawa na wewe ndiyo akiliMkuu shida yangu nina tamaa sana na pesa ndefu kutoka kwa kanji so mambo ya kuflex sijui kuedit sitaki kuyasikia. Mimi nikishasuka bomu namtegea kanji kama lilivyo.
somo lako zuri though, wenye kufuata wafuate
Bado hujanishawishiSwala siyo ku flex mfano wewe auja flex umeweka hela ukishinda unakula mil 40 mimi nika flex mara 3 nikaweka hela kubwa inayo niletea ushindi wa mil40 sawa na wewe ndiyo akili