Dah mimi nimempa mazima, yaani wakati nabet nilikuwa na wasiwasi nae sana ila nikampa.
Ndo uamini kwamba kanji ana majini yake
Yaani timu una wasiwasi nayo kabisa ila unajikuta ubaiweka tu halafu baadae unaanza jitukana🤣🤣🤣
 
Frolentina.... asante kwa kunirudisha kijijini..... Itanichukua wiki kadhaa kama si miezi.... kuja kufika hapa tena..... 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20230824-220554.png
    Screenshot_20230824-220554.png
    16.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230824-221058.png
    Screenshot_20230824-221058.png
    16 KB · Views: 5
Hawa akina mahrez na firminho wanatekenywa sio bure
 
Attachments

  • Screenshot_20230824_224232.jpg
    Screenshot_20230824_224232.jpg
    108.9 KB · Views: 3
Hawa akina mahrez na firminho wanatekenywa sio bure
Achaneni na hii ligi. Pesa sio ushindi. Ule ushindi au uchezaji wa ligi za ulaya, unatengenezwa. Hawa jamaa bado wao wanatumia hela. Hata makocha si wao wanawaita hao wachezaji ni matajiri, na wamiliki wa hvo virabu. Achaneni nazo. Kuna mkeka nimeuchukua humu. Kuja kushtuka ziko timu za kiarabu zenye hayo mashetani kutoka ulaya. Na no cashout. Nimetamani kulia.
 
Pole mkuu huu mchezo hauhitaji hasira, iyo ligi inatoa sana 1.5+
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom