Huwezi, hapo jisajili upya kwa kutumia namba nyingineWakuu msaada nataka kubadilisha namba ya simu niliyojisajilia betpawa, ndo nafanyaje hapa naona nimestack?
sasa si uwa hawaruhusu mtu mmoja kujisajili kwa no mbili? ikitokea ukala mpunga mrefu hawakupi wanasema umevunja masharti.Huwezi, hapo jisajili upya kwa kutumia namba nyingine
Wasiliana nao watakupa maelezo na maelekezoHuwezi, hapo jisajili upya kwa kutumia namba nyingine
Mbona mechi zipo nyingi sanaBado mnabet tu?
Mnabet Nini siku hizi
Leo code kamili hii hapa.Wale wa BETGEN mnafaidi sana.
jamaa akiomba over 2.5 mi naomba over 1.5 bas
naiona nafuu kubwa sana bas tu tamaa zangu kujikuta gwiji naongeza matim ya kifwala🥵🥵
View attachment 2672326View attachment 2672327View attachment 2672328
Kwahyo nitoe laki nne brohUhakika tena kwenye prediction.,unatoka wapi ndugu.
Mbona game zipo nyingi sana badoDuu acha tuone mwezi wa 8 nami nijipange asee
Hizo odds ni za kweli kweli, kama jitu lenyewe ni la bandia🤣🤣.. Joking.🏀E175176🏀 Odds 👊. number of events...4
Hizo odds ni za kweli kweli, kama jitu lenyewe ni la bandia🤣🤣.. Joking.
Wakuu naona mapambano kama kawaida.. mie tangu nichezee vifuti mechi za mwisho za league, kanji haioni yena sarafu yangu. Saa hizi nimejenga shavu, nina uhusiano mzuri na mama mwenye nyumba na nakula milo yote mitatu..
Sio mbaya, sihitaji kwenda gym ili nipungue, mwezi wa nane waja, lazima nikonde tu najua
Kesho beti utakulaDahm Bet Bana.
Kuna mu humu akasema kua BETGEN wako vizurim eti wakiweka over 2.5 mie nishushe iwe Over 1.5.
Sasa leo BETGEN akapost Metta/Lu na AUDA jamaa wa Latvia watatoa over 2.5 nami nikaweka over 1.5. Mpaka mechi inaisha only 0-1 mama yake.
Kipi kinakupa uhakika?Kesho beti utakula
mkuu mkuuuAchana na hayo mambo...