Wale wa BETGEN mnafaidi sana.
jamaa akiomba over 2.5 mi naomba over 1.5 bas
naiona nafuu kubwa sana bas tu tamaa zangu kujikuta gwiji naongeza matim ya kifwala🥵🥵
View attachment 2672326View attachment 2672327View attachment 2672328
Leo code kamili hii hapa.
Galsport betting 12210
Screenshot_20230629-175345.png
 
🏀E175176🏀 Odds 👊. number of events...4
Hizo odds ni za kweli kweli, kama jitu lenyewe ni la bandia🤣🤣.. Joking.

Wakuu naona mapambano kama kawaida.. mie tangu nichezee vifuti mechi za mwisho za league, kanji haioni yena sarafu yangu. Saa hizi nimejenga shavu, nina uhusiano mzuri na mama mwenye nyumba na nakula milo yote mitatu..

Sio mbaya, sihitaji kwenda gym ili nipungue, mwezi wa nane waja, lazima nikonde tu najua
 
Aahaaaaa

Dahm Bet Bana.
Kuna mu humu akasema kua BETGEN wako vizurim eti wakiweka over 2.5 mie nishushe iwe Over 1.5.

Sasa leo BETGEN akapost Metta/Lu na AUDA jamaa wa Latvia watatoa over 2.5 nami nikaweka over 1.5. Mpaka mechi inaisha only 0-1 mama yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom