Salam kwenu wakuu.
Huu ushauri kwenu japo si wa kitaalamu na si mtu wa kwanza kuutoa hapa mm narudia tu.

Wakuu katika ku bet kilamtu anambinu zake,mitizamo na namna anachukulia mchezo huu wa kubashiri
Baadhi ni mchezo wakujifurahisha ila wengine ni ajira na chanzo rasmi cha mapato.

Kwa kutambua hayo.
Suka mkeka wako wa malengo ya kushinda na stake kulingana na uwezo wako wa kustahimili chochote kitakachotokea.

TRENI(TRC na TAZARA)
wakuu tuwe tunasuka matreni makini na yale ya kutegemea bahati.
Stake normal, stake ya kawaida ambayo haikuumizi kichwa na huwezi ijutia au kuifikiria mfano 100/=
Wakuu matreni asikwambie mtuu yanalipa sana yakijibu
Treni liwe ni nyongeza.
Jitahid kusuka japo treni moja mpaka matatu kwa wiki
Matreni mazuri ni kwenye ligi mbali mbali

Mafanikio mema wakamaria wenzangu.
 
Leta mabehewa tudandie mkuu
 
Izi treni unatakiwa uwe nazo ata kumi una stake Mia Mia t unaziacha zitembe na ushahidi wa jamaa yangu treni moja ya shiling 200 ilivomtoa kwenye umaskini,ngoma ilitembea mwez mzima
 
wakuu nipo najifunza hii Kitu european roulette natak popote mpira ukitua nishinde tu na hap nishaipat mbinu moja
Screenshot_2023-06-29-11-53-34-12.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom