Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,341
- 7,479
Si yeye tu mkuu au yako inatiki uwe una share japo niokote okote mkuuMzee Kila siku status lost unatuogopesha....
Si yeye tu mkuu au yako inatiki uwe una share japo niokote okote mkuuMzee Kila siku status lost unatuogopesha....
Leta mabehewa tudandie mkuuSalam kwenu wakuu.
Huu ushauri kwenu japo si wa kitaalamu na si mtu wa kwanza kuutoa hapa mm narudia tu.
Wakuu katika ku bet kilamtu anambinu zake,mitizamo na namna anachukulia mchezo huu wa kubashiri
Baadhi ni mchezo wakujifurahisha ila wengine ni ajira na chanzo rasmi cha mapato.
Kwa kutambua hayo.
Suka mkeka wako wa malengo ya kushinda na stake kulingana na uwezo wako wa kustahimili chochote kitakachotokea.
TRENI(TRC na TAZARA)
wakuu tuwe tunasuka matreni makini na yale ya kutegemea bahati.
Stake normal, stake ya kawaida ambayo haikuumizi kichwa na huwezi ijutia au kuifikiria mfano 100/=
Wakuu matreni asikwambie mtuu yanalipa sana yakijibu
Treni liwe ni nyongeza.
Jitahid kusuka japo treni moja mpaka matatu kwa wiki
Matreni mazuri ni kwenye ligi mbali mbali
Mafanikio mema wakamaria wenzangu.
Izi treni unatakiwa uwe nazo ata kumi una stake Mia Mia t unaziacha zitembe na ushahidi wa jamaa yangu treni moja ya shiling 200 ilivomtoa kwenye umaskini,ngoma ilitembea mwez mzimaSalam kwenu wakuu.
Huu ushauri kwenu japo si wa kitaalamu na si mtu wa kwanza kuutoa hapa mm narudia tu.
Wakuu katika ku bet kilamtu anambinu zake,mitizamo na namna anachukulia mchezo huu wa kubashiri
Baadhi ni mchezo wakujifurahisha ila wengine ni ajira na chanzo rasmi cha mapato.
Kwa kutambua hayo.
Suka mkeka wako wa malengo ya kushinda na stake kulingana na uwezo wako wa kustahimili chochote kitakachotokea.
TRENI(TRC na TAZARA)
wakuu tuwe tunasuka matreni makini na yale ya kutegemea bahati.
Stake normal, stake ya kawaida ambayo haikuumizi kichwa na huwezi ijutia au kuifikiria mfano 100/=
Wakuu matreni asikwambie mtuu yanalipa sana yakijibu
Treni liwe ni nyongeza.
Jitahid kusuka japo treni moja mpaka matatu kwa wiki
Matreni mazuri ni kwenye ligi mbali mbali
Mafanikio mema wakamaria wenzangu.
Uhakika tena kwenye prediction.,unatoka wapi ndugu.Vipi hizi prediction apps hua Walau wanakua na games za uhakika..? Kwenu wazoefu wa betting nataka kujua kuhusu hiliView attachment 2672916
Duu acha tuone mwezi wa 8 nami nijipange aseeIzi treni unatakiwa uwe nazo ata kumi una stake Mia Mia t unaziacha zitembe na ushahidi wa jamaa yangu treni moja ya shiling 200 ilivomtoa kwenye umaskini,ngoma ilitembea mwez mzima
Mmh wanigeria haooKuna mwamba aliweka games za under Twitter kule in two hours kamfumua muhindi 1 mil na point kwa stake ya jero.
Tukutane baadae ndugu zangu...haya mambo yapo...najua watu watanipinga...View attachment 2672893
Mbongo kakaMmh wanigeria haoo