Wadau wa bet tuna upendo kama wavuta sigara. Akila mtu nafurahi sana. Ilimradi kala bas.
Sasa kuna mdau alitoa mpango kazi wa kubet siku 15 bila kutoa faida ikakua exponentially. Naendelea na ushaur vizur kwa 10k mtaj ingawa niliboresha had odds 2 kwa siku.
Napanga kufika 163m
Lakin betpawa wanabana sana odds kias kupata sure bet ni kaz. Naomba kujua ni kampun gan bora kuliko betpawa kwa options na odds. Nataka kuwa na project sportpesa.
 
1.51 ODDS ROLLEVER FOR 10 DAYS:

DAY ONE : BCJW5RK (SPORTYBET)
UNAWEZA KUANZA NA KIASI CHOCHOTE UNACHOWEZA KARIBU
Big loss
Screenshot_20220630-134610_Chrome.jpg
 
Kwani mechi ya mbeya kwanza v simba nini kilitokea? Mbona nimerudishiwa hela yangu!
Reporters walizingua, dk ya 18 walilichukua goli la Numungo la Sixtus sabilo assisted na Kichuya wakalipeleka kwa simba, watu wakampa simba over 1.5 wengine wakaipa draw, wakati gane imeisha 0:0. Kwa mkanganyiko huo, yeyote aliyeibetia ile game kafanyiwa refund
 
Na ndio maana nilikuwa nafatilia live kwenye mkeka wangu niliona goal limeingia, halafu baadaye kidogo wakaiondoa kwenye live, mwisho kabisa nikarudishiwa hela yangu ingawa nilikuwa nimeweka over 2.5.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom