W
Hao jamaa nilisha achana nao kitambo sana, wana dalili flani za kitapeli... Ukiona watu wengi wanalalmika na plaform flani, achana nao...
Wapo ambao watakutukana wakikusikia unaongea hivyo, ila ukweli utabaki kwamba 22bet wana shida kidogo, nimetoa pesa elfu 30, kwenye 22bet inaonyesha imetoka ila kwenye tigopesa hakuna hela sasa sijui tatizo nin?
Alafu kwanin hawana mawakala yani tangu nimeanza kuulizia wakala wa 22bet sijawahi ambiwa huyu hapa.
 
Si ukacomfirm livescore..
Nilikuwa sijashitukia hiyo mkuu maana nilikuwa najua na wao wapo faster kama livescore alafu si unajua tena kuna game zingine unavizia dakika zile za 75 mpaka 82 kwa ku-pick timu 5 chap chap alafu unacheza maana live bet uki-pick timu 5 kukubali ni mtiti, unashangaa zina tick 3 zingine removed ukiweka na kwenda livescore unazikuta wameziondoa.

Nimebadili strategy sasa hivi nazi-check zile za dakika 70 ili kupata nafasi ya kuzifanyia analysis kwa dakika 5 kule livescore au dakika 30 kama na bet HT
 
Screenshot_20220701-024848.jpg
 
Hao jamaa nilisha achana nao kitambo sana, wana dalili flani za kitapeli... Ukiona watu wengi wanalalmika na plaform flani, achana nao...
Halaf maajabu ukideposit hawasumbui saaana,ila ukitoa sasa kimbembe,nadhan huwa wanapigwa sana
 
Bado wakala wa 22bet anahitajika hapa.pesa yangu haijaingia bado nashindwa kuelewa kwann.
Msaada tafadhali.
 
Nilikuwa sijashitukia hiyo mkuu maana nilikuwa najua na wao wapo faster kama livescore alafu si unajua tena kuna game zingine unavizia dakika zile za 75 mpaka 82 kwa ku-pick timu 5 chap chap alafu unacheza maana live bet uki-pick timu 5 kukubali ni mtiti, unashangaa zina tick 3 zingine removed ukiweka na kwenda livescore unazikuta wameziondoa.

Nimebadili strategy sasa hivi nazi-check zile za dakika 70 ili kupata nafasi ya kuzifanyia analysis kwa dakika 5 kule livescore au dakika 30 kama na bet HT
Sometime pia huwa wanachanganya home team wanaweka ya ugenini,na ya ugenini wanaweka home
 
Halaf maajabu ukideposit hawasumbui saaana,ila ukitoa sasa kimbembe,nadhan huwa wanapigwa sana
Naomba wakala ajitokeze hapa atusaidie please.
Kwanin wanajisifia kwamba ni kampuni kubwa alafu hawana mawakala?unajua inashangaza sana.inatia shaka hii kampuni yani haiwezekan kila mtu aje na malalamiko alafu wengine wanasema eti wanaonewa.
 
Umechati nao ? Maana Kwenye app yao Kuna Sehem unaweza chati nao wanatoa majibu fasta tu. La sivyo search hapa Jf hiyo namba utaipata imeshatumwa sana humu.
Pia unaweza kuta shida ni M lipa sio 22bet.
 
Una maanisha 22bet?
Kama ndio +255 758 460 813
Wacheck Wasap
Jaribu hizo hapo alituma mkuu
Bado wakala wa 22bet anahitajika hapa.pesa yangu haijaingia bado nashindwa kuelewa kwann.
Msaada tafadhali.

Naomba wakala ajitokeze hapa atusaidie please.
Kwanin wanajisifia kwamba ni kampuni kubwa alafu hawana mawakala?unajua inashangaza sana.inatia shaka hii kampuni yani haiwezekan kila mtu aje na malalamiko alafu wengine wanasema eti wanaonewa.

Kingine kila siku unaleta malalamiko kuhusu hii 22bet kwanini usihame ? Unalalamika sana afu bado unaendelea kuitumia. Akili gani hizo.
 
Jaribu hizo hapo alituma mkuu

Kingine kila siku unaleta malalamiko kuhusu hii 22bet kwanini usihame ? Unalalamika sana afu bado unaendelea kuitumia. Akili gani hizo.
Duh!haya baba.

Ila waswahili wanasema"HATA MCHELE UKIWA NA CHUYA NDIO MCHELE WAKO HUO".
tunapaswa kufanya hivi ili watambue wapi wanapaswa kuboresha, ahsante kwa ushauri broo be blessed.
 
Umechati nao ? Maana Kwenye app yao Kuna Sehem unaweza chati nao wanatoa majibu fasta tu. La sivyo search hapa Jf hiyo namba utaipata imeshatumwa sana humu.
Pia unaweza kuta shida ni M lipa sio 22bet.
Nimechati nao na wanasema tatizo ni mtandao wa simu sio 22bet, hivyo nisubiri 24hrs pesa itaingia.
 
Back
Top Bottom