Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,019
- 21,914
Kampuni gani hii
Betway
Kampuni gani hii
Barcelona ndo TATIZOBarcelona View attachment 2039999
Wakuu hyo link ya wasafibet tutumieni basi na sisi tumfilisi huyu lionWakuu..nimefungua account Sportybet registration nimetumia Voda..ajabu nashindwa kufanya deposit coz naletewa nideposit either kwa tigo pesa ama Airtel Money sioni option ya M-pesa
View attachment 2040080
Wakuu..nimefungua account Sportybet registration nimetumia Voda..ajabu nashindwa kufanya deposit coz naletewa nideposit either kwa tigo pesa ama Airtel Money sioni option ya M-pesa
View attachment 2040080
Wakuu hyo link ya wasafibet tutumieni basi na sisi tumfilisi huyu lion
Asante mkuu..finallyNenda kwenye kwenye paybil
Hii SportybetWakuu hyo link ya wasafibet tutumieni basi na sisi tumfilisi huyu lion
Wakuu hyo link ya wasafibet tutumieni basi na sisi tumfilisi huyu lion
Wakuu haya yalishapita. Achana ma ubishani. Hii kitu ilitokea tena humu miezi kadhaa na haukupatikana ukweli though me pia nipo upande wako.Narudia tena siku ukijua kubet huu ujinga utakutoka mkuu
Aliyekwambia hao matajiri wanabet timu “kubwa” na kuweka mabilioni ni nani?
Speaking of “timu kubwa” una maanisha Arsenal, Psg, Man U, Barca, kwamba zinafungwa kwasababu zinahongwa na akina Betpawa?
Unajua uwekezaji ulio wekwa kwenye hizi rimu wewe? Ni zaidi ya bajeti ya nchi yako kwa miaka hata 5 halafu eti betpawa aje awahonge wafungwe
Unajua kitu inaitwa financial fair kwenye football mkuu, jishughulishe kuijua
Nitajie kampuni inayo ruhusu stake ya mabilioni ya stake?
Hivi unadhani unaweza kuweka Simba win Yanga Win Azam Win kisha uka stake Bilioni moja? Kunalimit
Kampuni za simu hazipati hela zaidi kwa wateja wa vocha za laki laki
Wanapata hela zaidi kwenye vocha za jero jero the same applied to betting mkuu
Vinginecyo makampuni ya betting Tz yangekufa yote sababu hakuna anayebet haya mahela unayosema zaidi ya jero jero unazo zidharau
Mwisho
Kama unavyo iona Simba au yanga inaatruggle kupata matokeo kibongo vivyo hivyo ndivyo ilivyo kwa Live au Buyern kwasababu hakuna mahali imehalalisha kwamba haiwezekani wao kupoteza
Bado wana Tigo na AirtelWakuu..nimefungua account Sportybet registration nimetumia Voda..ajabu nashindwa kufanya deposit coz naletewa nideposit either kwa tigo pesa ama Airtel Money sioni option ya M-pesa
View attachment 2040080
Mkuu uwe unaleta odd 4 tu na treni itakaa poa sana
Code mbili za mwanzo zimegoma...thanks though!Code za Sportybet hizo, kama kawaida usisahau kuchagua Ghana kabla ya ku-load code.
BC3ZELR5- 35.70 odds
BC3ZEZX1 - 37.10 odds
BC3ZFR3K - 22.22 odds
BC3ZG7F5 - 62.46 odds
BC3ZGYGL - 76.30 oddsView attachment 2040056
Tuchangie mzigoo jamaaa to bet is pawa😆Code za Sportybet hizo, kama kawaida usisahau kuchagua Ghana kabla ya ku-load code.
BC3ZELR5- 35.70 odds
BC3ZEZX1 - 37.10 odds
BC3ZFR3K - 22.22 odds
BC3ZG7F5 - 62.46 odds
BC3ZGYGL - 76.30 oddsView attachment 2040056