Wakuu..nimefungua account Sportybet registration nimetumia Voda..ajabu nashindwa kufanya deposit coz naletewa nideposit either kwa tigo pesa ama Airtel Money sioni option ya M-pesa

Screenshot_20211211-083720.jpg
 
Narudia tena siku ukijua kubet huu ujinga utakutoka mkuu

Aliyekwambia hao matajiri wanabet timu “kubwa” na kuweka mabilioni ni nani?

Speaking of “timu kubwa” una maanisha Arsenal, Psg, Man U, Barca, kwamba zinafungwa kwasababu zinahongwa na akina Betpawa?

Unajua uwekezaji ulio wekwa kwenye hizi rimu wewe? Ni zaidi ya bajeti ya nchi yako kwa miaka hata 5 halafu eti betpawa aje awahonge wafungwe

Unajua kitu inaitwa financial fair kwenye football mkuu, jishughulishe kuijua

Nitajie kampuni inayo ruhusu stake ya mabilioni ya stake?
Hivi unadhani unaweza kuweka Simba win Yanga Win Azam Win kisha uka stake Bilioni moja? Kunalimit

Kampuni za simu hazipati hela zaidi kwa wateja wa vocha za laki laki
Wanapata hela zaidi kwenye vocha za jero jero the same applied to betting mkuu
Vinginecyo makampuni ya betting Tz yangekufa yote sababu hakuna anayebet haya mahela unayosema zaidi ya jero jero unazo zidharau

Mwisho
Kama unavyo iona Simba au yanga inaatruggle kupata matokeo kibongo vivyo hivyo ndivyo ilivyo kwa Live au Buyern kwasababu hakuna mahali imehalalisha kwamba haiwezekani wao kupoteza
Wakuu haya yalishapita. Achana ma ubishani. Hii kitu ilitokea tena humu miezi kadhaa na haukupatikana ukweli though me pia nipo upande wako.

TUENDELEE KUBET LEO JACKPOT SPORTPESA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom