Aston v Leicester..tayari..1-1...
Screenshot_20211205-185858_SportPesa.jpg


Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Mkeka wa team 24 kuanzia ijumaa mpaka J2 ambao ulichanwa na zenit ijumaa. Naangalia hapa team 23 zote zimetick. Daaaaah
Usikate tamaa mkuu; kuna siku mambo yatatiki. Usichoke kujaribu. Siku za hivi karibuni nimefanikiwa kula baadhi ya mikeka ya treni. Tazama mikeka hii hapa chini imechanwa na timu moja tu huwezi kuamini 👇 Mkeka No 2 ulikuwa na timu 26 lakini timu moja tu ikachana :oops:

Mkeka No 1
1638727218721.png


Mkeka No 2
1638727415008.png
1638728266449.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom