B Prosper
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,213
- 3,599
6 hukoGoal 5 anazitoa vipi Germany raha yake over tuuh
6 hukoGoal 5 anazitoa vipi Germany raha yake over tuuh
Match imeuzwa hii daah6 huko
Hongera sana
Wanaweza pindua....
Pole sana mzeiyaaMkeka wa team 24 kuanzia ijumaa mpaka J2 ambao ulichanwa na zenit ijumaa. Naangalia hapa team 23 zote zimetick. Daaaaah
Inaumiza sana mkuuMkeka wa team 24 kuanzia ijumaa mpaka J2 ambao ulichanwa na zenit ijumaa. Naangalia hapa team 23 zote zimetick. Daaaaah
Haiwezi kutokea kwa mechi ya leoWanaweza pindua....
Bundes huwa kuna matokeo ya ajabu ajabu
Usikate tamaa mkuu; kuna siku mambo yatatiki. Usichoke kujaribu. Siku za hivi karibuni nimefanikiwa kula baadhi ya mikeka ya treni. Tazama mikeka hii hapa chini imechanwa na timu moja tu huwezi kuamini 👇 Mkeka No 2 ulikuwa na timu 26 lakini timu moja tu ikachanaMkeka wa team 24 kuanzia ijumaa mpaka J2 ambao ulichanwa na zenit ijumaa. Naangalia hapa team 23 zote zimetick. Daaaaah
Usikate tamaa mkuu; hii ndio nature ya betting.Kweli uchawi upo..... Yaani mtu kaingia dak za 90+1 then 90+3 anaweka goli brann wanasawazisha na mpira unaisha..View attachment 2034189
Code iko wapi?Huo mkeka mpaka alhamisi
Odds: 1600+
Mkeka ni over 1.5
Tujaribu
Code iko wapi mkuuHuo mkeka mpaka alhamisi
Odds: 1600+
Mkeka ni over 1.5
Tujaribu
Huo mkeka upo wapi mkuu? Hebu utupie humu tunakiri.Huo mkeka mpaka alhamisi
Odds: 1600+
Mkeka ni over 1.5
Tujaribu
Imeniuma sana hii...tim 13 zote zimtoa afu matako anafungwa dakika ya nyongeza aseeKweli uchawi upo..... Yaani mtu kaingia dak za 90+1 then 90+3 anaweka goli brann wanasawazisha na mpira unaisha..View attachment 2034189