Tafukari ya leo No. 1
PSX_20210905_132333.jpg
 
Mi strategy ambayo nimeanza nayo msimu huu ipo hivi.
Natumia sana option ya Double chance 1x au X2.
Na nimeamua kupunguza tamaa. Mkeka wangu unacheza odds 4 mpaka 7 Ila zaidi ya asilimia 95 Mikeka inakw na odds 4 au 4 na points.
Timu ikiwa home na ikapewa odds 1.1 Hadi 1.3 naipa direct win nikifanya uchambuz WA viwango na takwimu zingine. Odds 1.4 Hadi 1.5 mara nyingi nailinda.
Kwa upande timu ikiwa away naicheza kwa kuilinda na odds nimeweka ziwe kuanzia 1.4 mpaka 1.7. Mambo mengine ya viwango na takwimu zingine yanazingatiwa Kama kawaida.
Hadi sasa naona inafanya kaz na hata cku mkeka ukichanika ni mara chache na Hadi sasa naona ratio ya kuwin na kulose ni asilimia 65 kwa 35. Na nimejiewekea kwa siku sibeti zaidi ya Mikeka miwil na maximum stake ni 15k. Si haba naona napata hela za kununulia mboga na mafuta ya Toyo. Najitahidi sana kupunguza tamaa na kuwa na discipline ya utaratibu niliojiwekea na kuwa mvumilivu. Nakuza mtaji na taratibu na pia kafaida nakuwa nakatoa.


Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hii ndio mimi nafanya mkuu japo sijachukua hatua kama wewe lakini kwa style yako ni nzuri,
Lakini nina swali huwa unabet mechi ngapi???....

Huu mkeka wa leo sijui nifanye cash out
maana sina pesa kabisa na Italy sijui kama watatoa 3+

Screenshot_20210905-153847.png
 
Wanao waza kula Jackpot ya milioni 468. Sport pesa jana tarehe 4/9 hizi game za England league two zilicheza hivo most wali draw kama game mbili ushindi, kwa walio tumia akili kubwaaz kuweka draw wange fuma 468mil.
Wakati Brazil wengi walishinda kawaida as predicted before.

Screenshot_20210905-155515.png


Screenshot_20210905-155534.png
 
Yafaa kusoma maujuzi, maana naona Kanjibai ananitwangaga na nyundo na misumari kichwani tu kila siku. Hadi nakata tamaa
 
  • Thanks
Reactions: dtj

Similar Discussions

Back
Top Bottom