Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,174
Tafukari ya leo No. 1
Mapema tu Hannover 96 wanaenda kuuchaa mkekaCODE 0E91C52View attachment 1924621
Oh sawaNjia hiyoo siipat kulingana na inchi niliopo ila nimeshaipata
Hii ndio mimi nafanya mkuu japo sijachukua hatua kama wewe lakini kwa style yako ni nzuri,Mi strategy ambayo nimeanza nayo msimu huu ipo hivi.
Natumia sana option ya Double chance 1x au X2.
Na nimeamua kupunguza tamaa. Mkeka wangu unacheza odds 4 mpaka 7 Ila zaidi ya asilimia 95 Mikeka inakw na odds 4 au 4 na points.
Timu ikiwa home na ikapewa odds 1.1 Hadi 1.3 naipa direct win nikifanya uchambuz WA viwango na takwimu zingine. Odds 1.4 Hadi 1.5 mara nyingi nailinda.
Kwa upande timu ikiwa away naicheza kwa kuilinda na odds nimeweka ziwe kuanzia 1.4 mpaka 1.7. Mambo mengine ya viwango na takwimu zingine yanazingatiwa Kama kawaida.
Hadi sasa naona inafanya kaz na hata cku mkeka ukichanika ni mara chache na Hadi sasa naona ratio ya kuwin na kulose ni asilimia 65 kwa 35. Na nimejiewekea kwa siku sibeti zaidi ya Mikeka miwil na maximum stake ni 15k. Si haba naona napata hela za kununulia mboga na mafuta ya Toyo. Najitahidi sana kupunguza tamaa na kuwa na discipline ya utaratibu niliojiwekea na kuwa mvumilivu. Nakuza mtaji na taratibu na pia kafaida nakuwa nakatoa.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hizi apps nazo muda fulani zunazingua kweli.Tafukari ya leo No. 1View attachment 1924747
Huwa zinarange kwenye 6 mpaka 8. Maximum ni 8Hii ndio mimi nafanya mkuu japo sijachukua hatua kama wewe lakini kwa style yako ni nzuri,
Lakini nina swali huwa unabet mechi ngapi???....
Huu mkeka wa leo sijui nifanye cash out
maana sina pesa kabisa na Italy sijui kama watatoa 3+
View attachment 1924934
Mkeka wangu Jana huu hapa zilikuwa game 7 odds 4 stake 16kView attachment 1924965Hii ndio mimi nafanya mkuu japo sijachukua hatua kama wewe lakini kwa style yako ni nzuri,
Lakini nina swali huwa unabet mechi ngapi???....
Huu mkeka wa leo sijui nifanye cash out
maana sina pesa kabisa na Italy sijui kama watatoa 3+
View attachment 1924934
Hongera mkuu hii ndiyo nzuri.Mkeka wangu Jana huu hapa zilikuwa game 7 odds 4 stake 16kView attachment 1924965View attachment 1924966
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hii ilikuwa akili kubwaaz.Wanao waza kula Jackpot ya milioni 468. Sport pesa jana tarehe 4/9 hizi game za England league two zilicheza hivo most wali draw kama game mbili ushindi, kwa walio tumia akili kubwaaz kuweka draw wange fuma 468mil.
Wakati Brazil wengi walishinda kawaida as predicted before.
View attachment 1924983
View attachment 1924984
Punguza idadi ya mechi alafu ongeza Dau mechi 6 kwa siku ni nyingi sana.
Noted ntalifanyia kaz. Nipo kwenye kukuza mtaji ukikua ntapunguza games kuminimise riskPunguza idadi ya mechi alafu ongeza Dau mechi 6 kwa siku ni nyingi sana.
Wanoweka game mbili au tatu afu dau kubwa wana win kiasi.
Mnaulizia code hata kunigongea like hamtaki. Sasa hakuna codes hadi mtakapojifunza ukarimu na shukrani