Tzhacker 000
JF-Expert Member
- Dec 11, 2017
- 658
- 686
jamaa walimshauri mapema afanye cash out pole yakeDuh..Madrid sijui kama atachomoa
jamaa walimshauri mapema afanye cash out pole yakeDuh..Madrid sijui kama atachomoa
kachomoa mkuuDuh..Madrid sijui kama atachomoa
Kachomoaaa mkuujamaa walimshauri mapema afanye cash out pole yake
mkuu Chris wood ungeufuata huu sahivi ungekua unachekea chooni tu.MADRID 1X..NAC BRESA WIN..OLYMPIAKOS WIN..ZAMALEK WIN OR DRAW..TIA HIYO 50000 THEN SUBIRI MESEJI YA MUAMALA
imetoka hii mkuu.FREE FIXED WAPENZI WA VYA BURE HIZOView attachment 1714654View attachment 1714656
Yah kwa DC katoa mkuukachomoa mkuu
CongratsFREE FIXED WAPENZI WA VYA BURE HIZOView attachment 1714654View attachment 1714656
Hope ulicash out mapemaOkay sawa mkuu kwa ushauri mzuri ngoja niache tamaa ,maana na mwaka sijala pesa ya kanji
Kesho njoo inbox na pesa upate nusu kichaaimetoka hii mkuu.
Mkuu,hii livebet yako huwa unaweka kwenye dakika ya ngapi?Hongereni simba kwa ushindi View attachment 1714990
Lost ..Ohhh my money, my moneeyJana dakika ya 80 ajax alitundikwa goli la pili nikazima kabisa data leo naingia kusuka mkeka mpya, nakuta ule wa jana unapumua, kumbe lilegoli lilikataliwa, alafu ajax akapata goli la kusawazisha dkk ya 90. Najaribu kucashout wananikataliaView attachment 1714518
Hongera mkuuKwa Mara ya kwanza kumtungua zaidi ya 1M muhindiView attachment 1715069
Aah huyu bwana ni master wa livebetMkuu,hii livebet yako huwa unaweka kwenye dakika ya ngapi?
Serious???!Lost ..Ohhh my money, my moneey
Uliufuata?Congrats
Hiyo haikuwa live bet mbona hata humu nilitoa tip mapema sana kwamba simba atapat ushindi wa kuanzia goal 2Mkuu,hii livebet yako huwa unaweka kwenye dakika ya ngapi?