Jiang Ze Dong
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 314
- 851
Kuanzia leo siwekei timu za scotland overHayuko vizuri msimu huu
Kuanzia leo siwekei timu za scotland overHayuko vizuri msimu huu
Kuanzia leo siwekei timu za scotland over
Kuanzia leo siwekei timu za scotland over
Sawa mkuu ntayaweka ngoja nifanye analysis kwanzaMkuu uwe unaweka matreni hapa,nayakubali sana
Double chance 12 maana yake timu yoyote ishindeHabari hivi option ya double chance 12 inamaana gani.
Funguka mkuu ushuhuda wako unaweza kusaidia wengiKubeti ni kujiletea umasikini ilichonifanyia sina hamu
ilikufanya kifo cha mende nn mkuu!?Kubeti ni kujiletea umasikini ilichonifanyia sina hamu
Imekufanyaje mkuu,? Umeweza kuachaKubeti ni kujiletea umasikini ilichonifanyia sina hamu
Jaribu na Jackpot mkuu umetisha 31/32 sio habaDah nimeamini kwenye timu kubwa kuna mawakala wa ponjoroView attachment 1715506View attachment 1715507View attachment 1715509View attachment 1715510View attachment 1715511
Matokeo smtms yanapangwa ila usiingie mkenge wa fixee match, hata yakipangwa nchi yoyote anayetaka kukuuzia hiyo fixed odds hawezi jua, ufupi ni kwamba ikiwa mtu anatafixed odd hata 10+ odds, aweke mpunga ale pesa atulie kwann apigane kuuza....ni utapeli,Hivi ni kweli kuwa kunakuwaga Fixed Match(Upangaji wa matokeo) kwenye soka kwamba mechi Fulani imeisha 2-2 au 3-1 au 2-0 au 3-3 hii IPO kweli nahitaji kujua hili!
View attachment 1715682
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Sina bahati mkuu mara nyingi nakosa mechi moja lakin ipo siku mungu atanipaJaribu na Jackpot mkuu umetisha 31/32 sio haba
Nini kilikupata mkuuKubeti ni kujiletea umasikini ilichonifanyia sina hamu