Unabeti kwa ajili ya kujigurahisa au kupata faida

Lengo lako kubwa ni nini kwenye betting?

Kuna Masoko (option) unayafatilia zaidi na kuyafanyia tafiti?

Unabet kiasi gani cha pesa, ndogo zaidi upate return kubwa zaidi? Stake kubwa return ndogo!

LEO NAKUPA HII

Tafuta kampuni yenye option(soko) ya TOTAL GOAL RANGE kisha chagua 1-6 timu 12 = Odds 2.51 stake kuanzia 20K.

Kuna KUWIN na KULOST, ila hiyo option inamwaga hela

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app

Tofauti na meridian nan mwengine mwenye option hij maana meridian ananigomea kudeposit
 
Usiseme ujaambiwa
Screenshot_20210301-163432_betPawa.jpg
 
Tuendelee kuweka mikeka tu, ipo siku tutaheshimiana tu! Pale nitakapolamba zile milioni za sportpesa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom