Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 4,912
- 12,988
Live bet
Hahhhhhhhh,daaaaBetting haitupigi tu pesa , Hadi na nguvu za kiume
Mpe sociedad over 0.5ft thank me laterReal Madrid leo vip jaman???
Apate kuanzia goli moja tuuuu.Mpe sociedad over 0.5ft thank me later
Ungeweka na recommendation hata kampuni 1Unabeti kwa ajili ya kujigurahisa au kupata faida
Lengo lako kubwa ni nini kwenye betting?
Kuna Masoko (option) unayafatilia zaidi na kuyafanyia tafiti?
Unabet kiasi gani cha pesa, ndogo zaidi upate return kubwa zaidi? Stake kubwa return ndogo!
LEO NAKUPA HII
Tafuta kampuni yenye option(soko) ya TOTAL GOAL RANGE kisha chagua 1-6 timu 12 = Odds 2.51 stake kuanzia 20K.
Kuna KUWIN na KULOST, ila hiyo option inamwaga hela
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Galbet..Ungeweka na recommendation hata kampuni 1
Sujui ni cashout 170000 ,au ni hold wazeeJana dakika ya 80 ajax alitundikwa goli la pili nikazima kabisa data leo naingia kusuka mkeka mpya, nakuta ule wa jana unapumua, kumbe lilegoli lilikataliwa, alafu ajax akapata goli la kusawazisha dkk ya 90. Najaribu kucashout wananikataliaView attachment 1714518
Mkuu cashout mapema sanaSujui ni cashout 170000 ,au ni hold wazee
ExactlyApate kuanzia goli moja tuuuu.
Unabeti kwa ajili ya kujigurahisa au kupata faida
Lengo lako kubwa ni nini kwenye betting?
Kuna Masoko (option) unayafatilia zaidi na kuyafanyia tafiti?
Unabet kiasi gani cha pesa, ndogo zaidi upate return kubwa zaidi? Stake kubwa return ndogo!
LEO NAKUPA HII
Tafuta kampuni yenye option(soko) ya TOTAL GOAL RANGE kisha chagua 1-6 timu 12 = Odds 2.51 stake kuanzia 20K.
Kuna KUWIN na KULOST, ila hiyo option inamwaga hela
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Unabeti kwa ajili ya kujigurahisa au kupata faida
Lengo lako kubwa ni nini kwenye betting?
Kuna Masoko (option) unayafatilia zaidi na kuyafanyia tafiti?
Unabet kiasi gani cha pesa, ndogo zaidi upate return kubwa zaidi? Stake kubwa return ndogo!
LEO NAKUPA HII
Tafuta kampuni yenye option(soko) ya TOTAL GOAL RANGE kisha chagua 1-6 timu 12 = Odds 2.51 stake kuanzia 20K.
Kuna KUWIN na KULOST, ila hiyo option inamwaga hela
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Nimebadili wazo ngoja ni hold tu,. Madrid atashinda leoMkuu cashout mapema sana
Mh.Nimebadili wazo ngoja ni hold tu,. Madrid atashinda leo
cash out nduguNimebadili wazo ngoja ni hold tu,. Madrid atashinda leo
cashout mkuu..madrid game ngumu hyo..Nimebadili wazo ngoja ni hold tu,. Madrid atashinda leo
Ukimuweka na madrid inakuja shs ngap????Sujui ni cashout 170000 ,au ni hold wazee