Unabeti kwa ajili ya kujigurahisa au kupata faida

Lengo lako kubwa ni nini kwenye betting?

Kuna Masoko (option) unayafatilia zaidi na kuyafanyia tafiti?

Unabet kiasi gani cha pesa, ndogo zaidi upate return kubwa zaidi? Stake kubwa return ndogo!

LEO NAKUPA HII

Tafuta kampuni yenye option(soko) ya TOTAL GOAL RANGE kisha chagua 1-6 timu 12 = Odds 2.51 stake kuanzia 20K.

Kuna KUWIN na KULOST, ila hiyo option inamwaga hela

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
.
IMG_20210301_001046_077.JPG
 
Hapa nilikuwa nafanya mazoezi tu, kumbe nikiweka mtaji uhakika wa kutengeneza mihela upo!😃
 

Attachments

  • Screenshot_20210301-073623.png
    Screenshot_20210301-073623.png
    18.9 KB · Views: 1
Jana dakika ya 80 ajax alitundikwa goli la pili nikazima kabisa data leo naingia kusuka mkeka mpya, nakuta ule wa jana unapumua, kumbe lilegoli lilikataliwa, alafu ajax akapata goli la kusawazisha dkk ya 90. Najaribu kucashout wananikatalia
Screenshot_20210301-090531_Chrome.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom