Danny Massawe
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,295
- 756
Cha msingi ni kufanya full registration, mm nilipiga 2m wakanisumbua sana kutoa pesa maana nilifanya fast registration. Ila baadae nilidraw kwa shida baada ya emails na simu kibao
Man mi ni 'GURU' nabet mwaka wa 10 sasa...nabet mpaka 1 milion per one stake....si basket si football..si volleyball....elewa ninachokwambia...hunifaham sikufaham ila ukiamua kutokufanyia kazi ushaur wangu ni poa pia. Ila kwa wale wanaobet 100k, 200k , 500k wameshanielewa naongelea nini kuhusu utapeli wa 1xbet