Cha msingi ni kufanya full registration, mm nilipiga 2m wakanisumbua sana kutoa pesa maana nilifanya fast registration. Ila baadae nilidraw kwa shida baada ya emails na simu kibao
Man mi ni 'GURU' nabet mwaka wa 10 sasa...nabet mpaka 1 milion per one stake....si basket si football..si volleyball....elewa ninachokwambia...hunifaham sikufaham ila ukiamua kutokufanyia kazi ushaur wangu ni poa pia. Ila kwa wale wanaobet 100k, 200k , 500k wameshanielewa naongelea nini kuhusu utapeli wa 1xbet
 
1xbet imerudi watu nao wameanza kutoa ushauri kwenye pesa za watu ambazo wenyewe wameona wazitumie kwenye matumizi hayo.

Kama kampuni za kitanzania mnataka kuwa bora kwanini ubabaishaji uwe sehemu ya biashara yenu? Nani asiyependa sehemu nzuri, nani hapendi kubet masoko zaidi ya 800 nani anataka kuona upuuzi wa Mbet na Betpawa?

UKIONA MTU ANAENDA 1XBET UJUE ANAENDA KWA PESA YAKE WALA SIYO PESA YA FAMILIA YAKO AU BABA YAKO.

Nawe unabaki kampuni uliyoichagua kwa pesa zako mwenyewe.
 
Hebu weka link inayofikika hapa tuone maana najaribu kuingia inagoma
 
Man mi ni 'GURU' nabet mwaka wa 10 sasa...nabet mpaka 1 milion per one stake....si basket si football..si volleyball....elewa ninachokwambia...hunifaham sikufaham ila ukiamua kutokufanyia kazi ushaur wangu ni poa pia. Ila kwa wale wanaobet 100k, 200k , 500k wameshanielewa naongelea nini kuhusu utapeli wa 1xbet

Tatizo watu hawasomi maoni mtandaoni

Watu wengi wamekua wakilalamikia makapuni
Kama
1XBet
Ladbrokes
Williamhills

Na mengine kibao wakiona mtu kila week ata win kuanzia usd 2000 hivi gafla tu wanafunga account yako na wakaupa reason za ajabu na pesa huioni tena

Ni vitu vya kawaida vimewatokea wengi.

Sio kampuni za mbele tu hata hapa bongo meridian na playmaster washafanya sana uhuni huo

Betting ni betting kila kitu. Basi tu tushazoea kamari

Ushauri wangu kampuni za kibabe
1.365bet
2.betway
3.williamhills

Kampuni bora sana
 
Machungu ya weekend yamepotea. Daah, betting ni business ngumu sana
 
Attachments

  • CCA44BF0-9CF3-41CE-9D4A-97C88C70D84C.jpeg
    CCA44BF0-9CF3-41CE-9D4A-97C88C70D84C.jpeg
    62 KB · Views: 1
Makampuni ya kubet bongo hawawapendi 1xbet, wataisema vibaya badala ya kushindana nao kwa kutoa huduma bora. Sasa wanaojua gemu hili mtawakosa kizembe
 
Tatizo watu hawasomi maoni mtandaoni

Watu wengi wamekua wakilalamikia makapuni
Kama
1XBet
Ladbrokes
Williamhills

Na mengine kibao wakiona mtu kila week ata win kuanzia usd 2000 hivi gafla tu wanafunga account yako na wakaupa reason za ajabu na pesa huioni tena

Ni vitu vya kawaida vimewatokea wengi.

Sio kampuni za mbele tu hata hapa bongo meridian na playmaster washafanya sana uhuni huo

Betting ni betting kila kitu. Basi tu tushazoea kamari

Ushauri wangu kampuni za kibabe
1.365bet
2.betway
3.williamhills

Kampuni bora sana
Kuna watu ni wabishi wa kuzaliwa...22bet ina features kama 1xbet ila ni bora kwa sasa ukicompare na 1xbet...wanobet 500 tsh hawawezi nielewa...mi leo tu kwenye page yangu hist from 9/10/2019 to 9/10/2019 nimebet almost 300,000 Tsh kwa 22 bet....
PhotoEditor_20191009_211505791.jpg
 
Naona watu wanashangilia 1xbet kurud kwa mobile money za kibongo...ila kwa sisi wazoefu wa hizi mambo tunawaambia kuwa hakuna kampun ya betting ya nje ya kitapeli kama 1xbet..1xbet ni wazur ukiwa unaliwa ila siku ukianza kuwala ndo utajua 1xbet ni watu gani..utafanyiwa mizengwe yote mwisho wa siku utashtukia balance inasoma 0..nawashauri wanaobet kwa 1xbet wafanye kwa caution kubwa....wazoefu watanielewa. Kwa sasa the best site ya nje kwa hapa bongo ni 22bet
Kweli kuna jamaa aliwala 15945000 kwa buku 5.mkeka ulikuwa mrefu wa wiki 2.ilisalia mechi moja mkeka utoboe,jamaa akashangaa wamerudisha steka yake.yeye ukitaka ukosane naye ongelea hii 1xbet
 
Naona watu wanashangilia 1xbet kurud kwa mobile money za kibongo...ila kwa sisi wazoefu wa hizi mambo tunawaambia kuwa hakuna kampun ya betting ya nje ya kitapeli kama 1xbet..1xbet ni wazur ukiwa unaliwa ila siku ukianza kuwala ndo utajua 1xbet ni watu gani..utafanyiwa mizengwe yote mwisho wa siku utashtukia balance inasoma 0..nawashauri wanaobet kwa 1xbet wafanye kwa caution kubwa....wazoefu watanielewa. Kwa sasa the best site ya nje kwa hapa bongo ni 22bet
Yah ila wabongo wabishi sana! Nilishatuma link humu inayoonyesha reviews kuhusu 1xbet na star rate yake ni ndogo, wengi wanalalamika kwa kutumia neno Scammer, stay away from 1xbet nk!
 
Una salio la kutosha kwa card yako??? Ukitaka udeposit 30,000 kwa operators weng wa bank za Tz inabid uwe na atleast 45,000( 30k unadeposit, 5k ~ processing fee, 10k balance inayopaswa kubaki kwa card yako kama default min balance)
atumie mlesa mastercard ni chap tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom