ume lost .hiyo wamecheza overtime ndo goli la tatu likapatikana...usipende kubet cup..maana nyingi huwaga zime kuwa fixed zitoe draw..Nipeni ufafanuzi, mechi ya mwisho hapo kwa walioelewa
Hivi hawa wamekuwaje! Mbona nimepata au sina macho...View attachment 1227612
Mechi be ilisha hvyooHivi hawa wamekuwaje! Mbona nimepata au sina macho...View attachment 1227612
Hakuna kitu kinauma ka timu zinacheza umezipa under 3.5, af hadi dk ya 80 ngoma lbd iko 1-0, huku ka moyo kanaanza kufurahia, unatoka livescore unajua mkeka ushatiki, ile unakua kucheki unakutana na LOST, unahisi bookmaker matapeli, kwa hasira unaingia livescore, unakuta magoli yalifungwa dk ya 85, 87 90. Af stake mlima,Hapo ndo utajua dunia haina huruma.Unaeza ukapata mafua ghafla ile DAIMA MBELE NYUMA MWIKO we ukaisema DAIBA BELE NYUBA BWIKO. mmh, ukitaka kubet, agana na presha kwnz Mamaeeeeeee..!!
Ha ha ha ha ha kuna muda unaweza kuhisi labda umerogwa. Hii kazi fixed, ndumba & bahati inahusika sana!Hii kitu ilinikutaga kuna timu niliipa ishinde mpaka dk ya 86 ilikuwa inaongoza 2 zero na hyo ndo ilikuwa game ya mwisho kwenye mkeka wang nivune bas bana moyo ukaanza kusherehekea ushindi nikatoka live score baadaye naenda kucheki pm nakuta hela bado kuchek mkeka ety lost yaan sikuamin walitoka 2:2 kwel mpira dk 90 yaan unaweza sema kuna uchawi ety.
Ya jana walipatia hawa washkaji
naona unampa makavuuHamna lolote.. Mnavimbishana mibichwa tu hapa.. Utaendelea kupigwa hadi utachakaa..
Hahahahhahahahahahah halafu ni juzi tu nimepoteza pesa kufungua account ya bank abcWakuu mkacheki 1xbet naona huduma zao, mobile payment zimerudView attachment 1227773
We acha tuHaya mambo si mepesi!
BoraWakuu mkacheki 1xbet naona huduma zao, mobile payment zimerudView attachment 1227773
Ulifata?Ya jana walipatia hawa washkaji
Wow!!!Wakuu mkacheki 1xbet naona huduma zao, mobile payment zimerudView attachment 1227773
Wakuu mkacheki 1xbet naona huduma zao, mobile payment zimerudView attachment 1227773
OYOO OOOOOOOOOOOOOOO MZUKA MZUKA MZUKA ILE MBAYAAAAAAAAA PIGA KELELEEE 1XBETTTT