Mechi haijaisha mzee.Ahsante Porto keka langu la wiki nzima umelichukua wewe... Na umeshindwa kutoa hata double chance
Ila mkumbusheni akifungwa tu na mashindano asubiri msimu ujaoMechi haijaisha mzee.
Betswall??Kuna app moja hivi wanakutana wazee wa betting nikumbusheni nikaicheki
Cc mtzmweusi
Ukipita humu kwa over 1.5, huwezi kosa odds 4 Chief. Chagua timu mbili toka kwny kila competion hapo.
- Champions League,
- Champions League Women,
- Scotland Challenge Cup,
- Northern Ireland Premiership,
- England EFL Cup
HiyooKama kuna mtu anaweza akaniscreenshotia statistics za porto na krasnodar kabla ya dk ya 85 maan uku naon espn,flashscore na livescore hawaonyesh
Acha kabisa Mkuu, kasababisha mlipukoHuddersfield nao wamechomoa betri.
Niwakukimbiwa kama mvua..Hizo statistics zinanifanya niwaonee huruma Porto saves 10? Duuh wamejitahidi
we acha tuHuddersfield nao wamechomoa betri.
ila mm nilizigawa mbil tketAcha kabisa Mkuu, kasababisha mlipuko
Goma limetiririka vizuri, Huddersfield ndio kachomoa betri. Kwa wale waliounda clusters full shangwe.Kazi kwenu, Pia usisahau kuunda clusters za odd mbili mbili. Tukutane baadaye.View attachment 1180288View attachment 1180289
Safiiiila mm nilizigawa mbil tket
ya kulali please mkuuSafiii
Ni kweli normal haina mpango hata kidogo hii mikeka mitatu yote haikuwa na normal hata moja ilokuwa normal imepasuka ! Kwenye hii mitatu yote nlikuwa nasubiri game ya basel over 2.5 mpk dakika ya 60 kulikuwa na goli moja ila mwisho imetoadaah...Leo ilikua ni kilio kila kona aseh, wakuu msimu huu ni wakuogopa sana normal win, matimu mengi makubwa sikuizi yanafanyiwa comeback mpaka unabaki kushangaa tu, afu humu, nimeshaona makamaria wazuri sana, kila wanapotupia tips zina tick,tujarb kushrikiana, ukiwa na uchambuzi wa maana share na wakuu hapa.Kama tunavyojua, serikali haina ajira kwasasa, hvyo kwa pamoja tushrikiane katka tasnia hii, inayoleta mpunga kwa haraka zaidi.Niwape pole makamaria wote, walio tairiwa na kanji, tusikate tamaa, tuendelee kumsaka.Msisahau kua "Gamblers should always accept ther looses". KAMA UNA tips Tupia apa tulale nazo angalau turudshe ata stake zetu, maana duh