Kama kuna mtu anaweza akaniscreenshotia statistics za porto na krasnodar kabla ya dk ya 85 maan uku naon espn,flashscore na livescore hawaonyesh
 
Cc mtzmweusi
Ukipita humu kwa over 1.5, huwezi kosa odds 4 Chief. Chagua timu mbili toka kwny kila competion hapo.

- Champions League,
- Champions League Women,
- Scotland Challenge Cup,
- Northern Ireland Premiership,
- England EFL Cup

Northern Ireland wote wametoa 3+ ... noma sana.
 
Kama kuna mtu anaweza akaniscreenshotia statistics za porto na krasnodar kabla ya dk ya 85 maan uku naon espn,flashscore na livescore hawaonyesh
Hiyoo
Screenshot_2019-08-13-23-41-53-854_com.android.browser.jpeg
 
daah...Leo ilikua ni kilio kila kona aseh, wakuu msimu huu ni wakuogopa sana normal win, matimu mengi makubwa sikuizi yanafanyiwa comeback mpaka unabaki kushangaa tu, afu humu, nimeshaona makamaria wazuri sana, kila wanapotupia tips zina tick,tujarb kushrikiana, ukiwa na uchambuzi wa maana share na wakuu hapa.Kama tunavyojua, serikali haina ajira kwasasa, hvyo kwa pamoja tushrikiane katka tasnia hii, inayoleta mpunga kwa haraka zaidi.Niwape pole makamaria wote, walio tairiwa na kanji, tusikate tamaa, tuendelee kumsaka.Msisahau kua "Gamblers should always accept ther looses". KAMA UNA tips Tupia apa tulale nazo angalau turudshe ata stake zetu, maana duh
 
Ni kweli normal haina mpango hata kidogo hii mikeka mitatu yote haikuwa na normal hata moja ilokuwa normal imepasuka ! Kwenye hii mitatu yote nlikuwa nasubiri game ya basel over 2.5 mpk dakika ya 60 kulikuwa na goli moja ila mwisho imetoa
Screenshot_20190814-000047_Opera.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom