Daah mkongwe kweli ulisema, hili fala limeenda na 50K yangu.
Lilienda vzr set ya kwanza likaongoza kwa games 5-2 ... zikaanza kurudishwa limesimama kindezi tu. Mijitu mingine haijui tunaweka hela zetu. Kenge kbs hili Monfils.
Daah pole sana mkongwe..Monfils siku hizi kawa ndezi..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom