faokipe
JF-Expert Member
- Jan 20, 2015
- 1,017
- 1,172
Hilo ni tatizo la muda litakaa sawa tu mkuuWazoefu WA safaricom nitatulien hlo tatizo
Hilo ni tatizo la muda litakaa sawa tu mkuuWazoefu WA safaricom nitatulien hlo tatizo
Payment declined. Please link your current phone number to your account in personal profile or text to 29021 LINK#userID#password Stop dial *456*9*5#
Transaction failed, M-PESA cannot complete payment of Ksh4800.00 to 1XBET 2. Organization receiving the payment is unavailable, try again later.
tunafanyeje tatizo hill kusolve
Ulisha activate namba yako ya safaricom na acount yako ya 1xbet???Wazoefu WA safaricom nitatulien hlo tatizo
INPLAY
Dynamo Kiev over 0.5 odds 1.5
INPLAY
Dynamo Kiev over 0.5 odds 1.5
BOOOOM 1-1Wajinga hao wananichania mkeka
BOOOOM 1-1
Utauziwa tip huko wwWenye group la kubet wanitupie au nipen link
Utauziwa tip huko ww
Hii ni 1xbet?Juventus over 4.5 corners odds 1.45
Duu pole kiongozi ila mapambano ywnaendeleaMil 11 imepeperuka sababu ya hao wajingaView attachment 1108767View attachment 1108768
Tofauti na Mhakiki hakuna ambaye ana deni kwangu la line.
Huyu jamaa ni mtu mwenye uvumilivu mwingi, nakosea na najua kabsa kuwa hapa nakosea ila nilikosa namna ya kutatua changamoto.
Sina haja ya kueleza yote, ila mzigo wake atapokea tu, naamini hivyo. Siwezi tapeli pesa yake maana mm sio tapeli. Kuanzia sasa mzigo utakuwa njiani kuelekea alipo naamini ataupokea.
Niombe radhi kwake, kwa usumbufu na ucheleweshwaji wa mzigo wake.
Mkuu huko unapotaka kwenda hakuna jipya kabisa! Yani unachokiona humu ndo hichohicho hakuna mpya!Wenye group la kubet wanitupie au nipen link
Umeshatatua hili tatizo?Nmepata line ya safaricom lakn km nashindwa kuiset inaonyesha hiviii... Nifanyeje ili iwe fresh View attachment 1107773