Jamani mi naomba kuelekezwa wale mnaotumia 1xbet mnatumia deposit method gani kutopup na kuwithdraw?

Hizo line za safaricom zinasajiliwa kwa jina la nani?Je zinatumikaje kudeposit na kutolea pesa 1xbet vp?Tafadhali naombeni maelezo kwa kina niweze kuzielew a hizi line ili nifanye uamuzi.

Pia kwa mnaotumia bank transfer basi ajitolee mmoja wa kutuelekeza hatua 1 hadi ya mwisho mpaka miamala inakamilika.Tukifahamu mifumo hii itakuwa vyepesi hata kujiunga na betting company nyingine tofauti hata na 1xbet.

Naomba kuwasilisha ombi.
 
Odds 1.50 weka 100k upate 150k sasa

Link
I can win 1.50 TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! https://www.betpawa.co.tz/share-63ffef914
Screenshot_20190527-121829.jpeg
 
Wadau wa kubet habarini za mchana:

naonaga watu kwenye page nyingi wanasema wanauza correct score(fixed match) ,huwa zinatoa kweli au ni matapeli tu??.
 
Wadau wa kubet habarini za mchana:

naonaga watu kwenye page nyingi wanasema wanauza correct score(fixed match) ,huwa zinatoa kweli au ni matapeli tu??.
Zipo na ni very rare mkuu..
Hua ni fixed game tna hua ni viligi vdgo hukko.
Maana ikigundulika ni bonge la msala..
Na ubaya wa hii kitu hua wanapost kara nyingi kupotezesha maboya na ushahidi.
Kumjua nani kweli au la ni ngumu,but darkwebb kule mwaka juzi kulkua na jamaa anauza,kwa mwaka hata mara 6 tu..
 
Sasa hawa wanaopost kila wiki si matapeli tu wa batting.
 
Hivi hawa supa mkwanja mbona hawalipi hela tulizo wala na ukiwapigia wana kwambia system mbovu sasa ni zaidi ya wiki . .kuna njia gani ya kuwadai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom