Internal
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 3,576
- 3,899
Napitaga sana wakuu, sema sio mchangiaji sana. Shukranibkwa kunikumbuka mkuu.Daaaah mwana kapotea sana aisee
Napitaga sana wakuu, sema sio mchangiaji sana. Shukranibkwa kunikumbuka mkuu.Daaaah mwana kapotea sana aisee
Waelekeze uku mkuu. Bato mzigo upo wakutosha.Watu wanahitaji Safaricom
name tuition y'all kujiregister... naipataje npo moshi
Nipo namanga, mkuu, hapo unaipata ndani ya masaa. It means ukinitumia pesa asubuhi jioni iko na line yako.name tuition y'all kujiregister... naipataje npo moshi
najaribu kukupm ila inaonekana kuna errors. sijaelewa system inakuaje kwako.Nipo namanga, mkuu, hapo unaipata ndani ya masaa. It means ukinitumia pesa asubuhi jioni iko na line yako.
Nimekupm mmnajaribu kukupm ila inaonekana kuna errors. sijaelewa system inakuaje kwako.
Mkuu, changamoto ni za kawaida ambazo zinatatulika japokuwa hata ivo ninajitahidi kuhakikisha kuwa kila mtu anapata na utamfikia mzigo popote.Mbona kuna watu wanadai wamelipia na hawajapata? Kuna magumu gani yamekukuta?
Itapendeza sana mzee babaMkuu, changamoto ni za kawaida ambazo zinatatulika japokuwa hata ivo ninajitahidi kuhakikisha kuwa kila mtu anapata na utamfikia mzigo popote.
Salama sana chiefSaf mkuu wangu vip, za kazi?
Sawa mkuu pamoja.Itapendeza sana mzee baba
Nipo sana bosa wangu. Napita tu ila nipo.Salama sana chief
Umeadimika sana
Nipo sana bosa wangu. Napita tu ila nipo.
Nahitaji line ya safari com mkuu fanya manuva nivute iyo line chiefNipo sana bosa wangu. Napita tu ila nipo.
Njoo pm mkuu,Nahitaji line ya safari com mkuu fanya manuva nivute iyo line chief