MAIN VIP TICKET

Norway
Floro vs Elverum
Tip BTTS @1.48

Norway
Raufoss vs Sandnes Ulf
Tip BTTS@1.55

Norway
Aalesunds vs Tromsdalen
Tip 1@1.36

Romania
Ripensia Timisoara vs Petrolul Ploiesti
Tip X2@1.30
===========
BONUS TICKET
Sweden
Vasteras v Syrianska
Tip 1 @1.74

Portugal
Belenenses – Nacional Madeira
Tip 1 @ 2.03

Sweden
IFK Goteborg – Malmo
Tip BTTS @ 1.70

===========
Norway
Odd – Ranheim
Tip 1@1.45

Iceland
Grindavik – KR Reykjavik
Tip 2 @ 1.70

France U17 – Italy U17
Tip 1 @ 2.00

===========

⚽ Romania
⚽ 1800 hrs
⚽ Clinceni - Universtea Cluj
⚽ Tip. Over 2.5 odd 1.90

⚽ Indonesia
⚽ 1630 hrs
⚽ Bali - Persebaya Surabaya
⚽ Tip. Over 2.5 odd 1.75


⚽ Indonesia
⚽ 1630 hrs
⚽ Pusamania Borneo - Surabaya
⚽ Tip. Over 2.5 odd 1.90
Ila we mtu unakera na mataka taka yako
Yamekua mengi mno mkuu
 
Mkuu uwe unatupia kiaina
Kama vp tupia ya kulalia leo nimeliwa sana angalau nirudishe mtaji
Mkuu mida imeenda hakuna game za kueleweka

Mi mwenyewe nimetega hapa naona akina mbwana wanakata mauno tu
Watanichania mkeka wangu
Screenshot_2019-05-16-22-56-54-1.jpeg
 
Katokea msenge mmoja anaitwa molde fk alikuw anaongoz mbili bila. Dah saiv si ningekuwa dunia yangu. Ila ipo siku kanji ntakufany vibaya. Ila na me nimsenge tu kwann nimeweka team zote mkeke mmoja
IMG_20190516_232901_185.JPG
 
Psv mungu anakuona, nlimkataa ajax nikakupa wew umeend kufany umalaya. Ila nawew ukome ligi umekosa, dah unanifany ad nitembee naongea peke ang maan kanj........
IMG_20190516_234606_533.JPG
 
Premier bet tangu jana wanakosesha kwenye baadhi ya mechi na kukosesha watu wakati hali halisi siyo. Hapo nilicheza over 152 tena including overtime. Majibu yalikuwa zaidi ya hiyo ila waliandika loss. Na leo imejirudia tena wameunguza mkeka wakati sii kweli
Screenshot 2019-05-17 00.02.44.png
 
Nina nyota mbovu au ni gundu? Maan mikeka ya kula et naend kustak kaela ka mboga, dah sema sio mbay ila nakuahaid kanji kesh nitakutend ni mwendo wa team mbili nawek figo team mbili nyingne nawek ini team mbili nyingne nawek moyo
IMG_20190516_235339_797.JPG
 
Kuna hii nyingine wamenirarulia leo lilikuwa naifuatilia kwenye live score mbalimbali nikahakikisha imevuka lakini wamepiga nyekundu
Screenshot 2019-05-17 00.27.08.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom