Mkuu chambua chambua tu hata mbili upate odd 2+ weka stakeMkuu Joaquem long time no see... Nimefurahi kukuona tena na kokoro... Acha nipite nalo.
Mkuu weka codes yake tujitose.Wenye shida ya odds chambuani mtafune km karanga View attachment 871975View attachment 871976View attachment 871977View attachment 871979
Nawe mhanga kama mimi pesa yangu wamezingua mara 100 benki lakini mpesa master card ovyo!Ivi wazee kuna aliefanikiwa kudeposit kwa mastercard???maana mm pesa yangu ipo kwenye mastercad kuanzia jpili mpaka leo...kuideposit imekataa kiirudisha mpesa imekataa
Leo hawa hawawezi kutuangusha... Arsenal yuko home anacheza na timu dhaifu ulaya. Chelsea ana kikosi kipana sana ingawaje kocha amepumzisha mastar wake kadhaa kwa ajili ya EPL ila bado Chelsea ana nafasi kubwa sana ya kushinda ugenini.Mchawi wa leo nan wazee kati ya asernaln na chelsea maana naona daily kuna mchawi
WON
Keshaliwa kimoko tayari!Simba anawasabahi teh
Duh!pamoja nakupiga shots on target 10 hakuna goli,LOSTPesa ya bureeView attachment 872273
Mkuu sheria znatofautiana kati ya match za under 17,20 or under 19,na match za watu wazima..especialy kwenye muda,wengne ni dk35 kipind cha kwanza,wengne ni 40,za watu wazima ndo 45,..pia za wanawake ,kua makin,nying sio dk 90 especialy hiz za under 20,16,19 etcWazee wenzangu wa inplay kuweni makini na 1bet kuna mechi zinaishia dk ya 70 badala ya 90....leo nimecheza game ya kwanza dk ya 56 na nikaweka over ila baada kama dk 20 nakuja cheki nimelose na dk zilikuwa azijaisha....nimekuja nimecheza nyingine nikawwka over na ilikuwa dk ya 66 ila nakuja chek baada ya dk kama kumi nakuta tayar game ilishaisha na nimeloose