*BETKING USER'S*

*HAND ✋ BALL*

*Booking Code:BMY77*

*Total Odds:2.22*

IR Reykjavik - Valur Reykjavik
Asian Handicap (5.5 : 0) :1 H
11th February 2019 20:30

Hapoel Kiryat Ono - Hapoel Rishon Letzion
O/U (55.5) :Un.
11th February 2019 19:30

*👑KING JOCIFIC🃏*
 
KESHO KUTWA NAELEKEA ARUSHA TO. KAMPALA.. NIKIFIKA ARUSHA NTAWEKA NAMBA YA BOSS LADY MMOJA ALINIPA LINE YA SAFARICOM NIKAIPOTEZA NILIKUWA NAWASILIANA KILA KONA YA TZ...
 
Actually nimecheza under mikaka miwli hapa nasubiria tu, sema kuna mkeka mwingine nilicheza Hamburger anashinda!
Umeona kama mimi nimeanza vzur
Screenshot_20190212-000422.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna jamaa anaitwa VOID a.k.a EMPTY amepotelea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Pambania maisha yako ndugu, jana nimepiga kilo nane na ushee nipo najipongeza kwa kujilipa mshahara Wa mwezi Kwa siku moja. Void atabaki kileleni daima. Mnaoteseka mtahama jukwaa. Yaani hapo nimepiga hela za akina soka255 mia nane. Halafu wapuuzi kama nyie sometimes inabidi nisiwajibu manaake nawazidi kila kitu. Kinachowasumbua ni inferiority complex.
Pambaneni na hali zenu. AISEEEEEEEE.....!!!!
 
Hahaha mshahara wa mwezi mkuu umepiga kwa siku afu watu wanaleta mbwembwe emu mtupie elfu 5 kichwani apate akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom