Kwa usumbufu nilioupata na ninaoupata kwa 1xbet imeishiwa nguvu kabisa kwani wakati ninadeposity kiulaini na kwa haraka kupitia kadi ya benki nilidhani ku withdraw ni rahisi kumbe almost haiwezekani.

1. Nimejaribu kutoa kwa kadi ila imeshindikana kabisa inatoka inakuwa pending lakini baada ya muda inakuwa rejected
Screenshot 2019-02-11 22.53.48.png
 
2. Nimejaribu kufungua na ku withdraw kwa kutumia skrill lakini napata ujumbe kuwa lazima nitoe kwa njia niliyotumia kuweka sasa imeshindikana kabisa
Screenshot 2019-02-11 22.51.02.png
 
Mkifika watu 10 tukubaliana bei niwaagizie line za Safaricom za kenya
Zinafanya kazi bongo, unahamisha mpesa kwenda safaticom, then unadeposit 1xbet
Kuwithdraw unapeleka safaricom then unatuma kwa mpesa yako
 
ALIEFWATA CONG'S

Wawrink to win 🎾
βœ…βœ…πŸ€£βœ…βœ…
Midtjilland to win
βœ…βœ…πŸ’΅βœ…βœ…
*Odd 2.43*
*21:00*
BOOMπŸ˜„πŸ•ΊπŸΌπŸ’ƒπŸ»BOOMπŸ•ΊπŸΌπŸ’ƒπŸ»πŸ•ΊπŸΌBOOMπŸ’ƒπŸ»πŸ•ΊπŸΌ
πŸ’₯πŸ’₯ BOOMπŸ’₯🍾 πŸ’₯BOOMπŸ’₯ πŸ₯πŸŽ·πŸŽΊ VVIP GAMEπŸ’‹WONπŸ₯πŸ•ΊπŸΌπŸ•ΊπŸΌπŸ•ΊπŸΌπŸ’ƒπŸ»πŸ’ƒπŸ»πŸ’ƒπŸ»πŸ•ΊπŸΌπŸ•ΊπŸΌπŸ’ƒπŸ»πŸ’ƒπŸ»πŸ•ΊπŸΌπŸ•ΊπŸΌπŸ’ƒπŸ»πŸ’ƒπŸ»πŸ§πŸ§πŸ§πŸƒπŸ½β€β™‚πŸƒπŸ½β€β™€πŸ’΅πŸ’·πŸ’΄πŸ‘…πŸ‘…πŸ‘…πŸ‘…πŸ‘…πŸ‘…πŸ‘…πŸ‘…πŸ‘…πŸ‘…πŸ‘…πŸΎ VVIP πŸ’΄πŸ’΅πŸ’· GAME WON🍾🍾🍾🍾🍾🍾🍾🍾🍾🍾🍾🍾πŸ’₯πŸ’₯ VVIPSπŸš˜πŸ›«πŸ’‹ join πŸ‘ˆπŸ’₯
πŸ˜…πŸ˜…πŸ€©
*VViP platform is real*😁
Sir SYMONYissagoal😁
Greengrats allπŸ€ͺ
 
Kwa usumbufu nilioupata na ninaoupata kwa 1xbet imeishiwa nguvu kabisa kwani wakati ninadeposity kiulaini na kwa haraka kupitia kadi ya benki nilidhani ku withdraw ni rahisi kumbe almost haiwezekani.

1. Nimejaribu kutoa kwa kadi ila imeshindikana kabisa inatoka inakuwa pending lakini baada ya muda inakuwa rejectedView attachment 1020173
Withdraw kwa njia uliotumia kudeposit ndo huwa mila zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom