Jaribu sportybet wako poa sana yaani hadi mechi unaangalia live huku una bet..options kama zote,pesa ukila unaipata wakati huohuo..Sport pesa ni matapeli wakiona kuna options za kupiga pesa kama over 1.5 hawaziweki wanakuwekea game itoe zaidi ya goli 3
Mkuu napataje app ya sportybet? naomba link plz..nashindwa kuipakua kutoka kwenye web yao.
 
DF520F6
PSX_20211224_121512.jpg
PSX_20211224_121532.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom