A15BBD8
Mechi 24 -34
Odds 3,509


PSX_20211206_130549.jpg
PSX_20211206_130602.jpg
PSX_20211206_130614.jpg
 
Mimi na mbona kila niki deposit pesa 22bet haionekani na huku naambiwa muamala umekamilika?
Natumia website yao sina app, au hili ndo tatizo??
Kama kuna yeyote anayetumia 22bet bila kumsumbua comment hapa nina kitu cha kuuliza.

Ulikopi kwa usahihi Ref No mkuu
Maana zile No zipo nyingi ukikosea inakua mtihani

Wasiliana na mtandao wako wakikwambia ipo hewani subiri
Wakikwambia imefika wasiliana na M-Lipa

22bet wakati mwingine inazingua sababu wanawatumia Mlipa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom