64F7815

Odds 22, 962

Mkuu nilifatilia matreni yako nika note kitu, nikajaribu mara nne nikapigwa moja

Kimsingi nikaona mara nyingi game tatu za mwanzo na game tatu za kati mwa mkeka mara nyingi zinatoa
Nikawa napa odd 2+ nalipuka kimya kimya

So kimsingi tunaokotamo humo humo na sie tusiopenda matreni
Na leo nimeruka nazo pia
IMG_3845.jpg
 
Mkuu kwema?
Nilikua nina ushauri mmoja, sio kwamba nataka uhamie Sportybet, ila hii inaweza kusaidia.

Sportybet wana option ya loss allowance, wenyewe wanaita "Flexy". Yaan kama mkeka una timu labda timu 30 na odds labda 5,000 unaweza kuweka loss allowance ya timu 2, odds zikapungua mpaka 700 labda.

Ndio kusema hutolipwa Kwa odds 5,000 Tena , bali odds 700 lakini hata ukipoteza timu 2 bado unalipwa mkeka wako. Hii inawafaa waweka matreni kama wewe maana yanakuaga na odds nyingi.

Faida yake ni kua utalipwa hata kama kwenye mkeka kuna timu iliyopoteza. Hasara yake ni kua unapewa odds chache kuliko odds zako halisi. Calculations wanavyofanya kuamua hizi odds hata mi sijui.

Jaribu hizi Mkuu
 
Ok Wenda sikukuelewa
Mkuu, Lengo la kutuma code humu ni kusaidia kushea mawazo na wengine, mtu anaruhusiwa hata kuedit mechi moja nae anaweza kuituma tena humu. Hivyo sijaona ulazima wa kuchukia, hata treni likianguka mtu anaweza ku-rebet akalirudisha humu likaendelea na safari.

Hivyo yeyote anaetuma code ni kwa mapenzi yake tu.
 
Mkuu kwema?
Nilikua nina ushauri mmoja, sio kwamba nataka uhamie Sportybet, ila hii inaweza kusaidia.

Sportybet wana option ya loss allowance, wenyewe wanaita "Flexy". Yaan kama mkeka una timu labda timu 30 na odds labda 5,000 unaweza kuweka loss allowance ya timu 2, odds zikapungua mpaka 700 labda.

Ndio kusema hutolipwa Kwa odds 5,000 Tena , bali odds 700 lakini hata ukipoteza timu 2 bado unalipwa mkeka wako. Hii inawafaa waweka matreni kama wewe maana yanakuaga na odds nyingi.

Faida yake ni kua utalipwa hata kama kwenye mkeka kuna timu iliyopoteza. Hasara yake ni kua unapewa odds chache kuliko odds zako halisi. Calculations wanavyofanya kuamua hizi odds hata mi sijui.

Jaribu hizi Mkuu
Nadhan hii 'Loss Allowance" wameweka kwa pande zote 2..ww ambae ikitokea umewapiga odds zote full bila kukosa hata 1 mfn..mkeka ulikua na 5000 odds wanakupigia kwa odds 700 inakua imewapunguzia na wao hasara kubwa na ya pilu endapo ww utakosa team 2 unazosema walau upate ki2 lkn all in all iyo option bd inamFavour bookie mwnyw.
 
Yeah,

Ndomana nkasema ina faida na hasara zake. Ukiweza kuwala Kwa odds zote 5,000 lakini wakakulipa Kwa odds 700 means hasara kwako na faida kwao.

Ila Kwa uzoefu tu wengi wetu tukiweka mabehewa ya odds 5,000 hayafikagi Kigoma
 
Ma
Ulikopi kwa usahihi Ref No mkuu
Maana zile No zipo nyingi ukikosea inakua mtihani

Wasiliana na mtandao wako wakikwambia ipo hewani subiri
Wakikwambia imefika wasiliana na M-Lipa

22bet wakati mwingine inazingua sababu wanawatumia Mlipa
Hawa m-lipa nijipu mkuu, wanakula kimasihara deposit zetu, mimi nimetelekeza akaunti Yangu sababu naogopa kueka hela
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom