Wakuu habari zenu,niliwithdraw elf 84 siku ya tarehe 9 katika kamoun ya 22 bet mpka leo muamala bado haujafika najaribu kuwacheki kwa email zao bado sioni ufumbuzi wa haraka ,msaada wa mawazo namna ya kuipta hii pesa kwa haraka

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app

IMG_0013.jpg

22bet hawanashida kabisa, nmetoka kuvuta mpunga sio mda mrefu, ishu ya Mlipa ilikua shida mwanzoni 22bet ilivyoanza TZ, ila naona saizi wamerekebisha matatizo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom